Tuesday, October 3, 2017

JINSI YA KUTENGENEZA ICE CREAM/LAMBALAMBA NJOO WHATSAP 0782 065401

Tags
JINSI  YA  KUTENGENEZA   ICE CREAM/LAMBALAMBA NJOO WHATSAP 0782 065401

Tuesday, September 26, 2017

KWA ANAYEHITAJI KUTENGENEZA BLOG BEI POA 25,000 TU

Tags




HABARI ZENU WAPENDWA,
LEO NAWALETEA HABARI MPYA KABISA KWA ANAYEHITAJI KUTENGENEZEWA BLIOG KWA BEI POA KABISA.
ANICHEKI WHATSAP 0782 065401
BLOG NDIYO HABARI YA MJINI

NJOO UJIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA VITU MBALIMBALI

Tags
Habari zenu wapendwa?!...
ninafundisha jinsi ya kutengeneza vitu mbalimbali...
kwa Tshs 3000 darasa
1. kutengeneza kashata za nazi e.t.c
2. kutengeneza biskuti za mayai e.t.c
3. kupika karanga za mayai
4. kutengeneza mkate wa sembe
5. kutengeneza skonzi
6. lambalamba za matunda mbalimbali
7. chocolate kutengeneza
n.k
njoo whatsap 0782 065401

Monday, August 21, 2017

MKE WA MTU SUMU : AGEUZWA VIUNGO VYAKE VYA MWILI

Tags


Alilala na mke wa mtu, kwa bahati mbaya mwanamke huyo alikuwa ametegwa na mume wake pasipo kujua kama kuna tego, basi huyu jamaa kama kawaida yake akapanga miada wakutane nyumba ya kulala wageni.

Kama Wahenga walivyosema kwamba za mwizi arobaini, jamaa siku ya tukio akawa wa kwanza kufika kwenye nyumba ya wageni(Guest House) waliyopanga kukutana na mwanamke ambaye alijua fika ni mke wa mtu.

Haikupita muda yule mke wa mtu akatia timu na kufikia kwenye chumba cha mchepuko wake kwa ajili ya kuivunja amri ya sita, lakini haikupita muda kelele zikasikika kutoka kwenye chumba chao.


Zilikuwa ni kelele za yule mwanamke akitoka ndani akiwa kama alivyozaliwa akipiga mayowe, hatua iliyopelekea wahusika wa guest house kwenda kuangalia, ndipo walipokuta mgoni amegeuka viungo vyake vya mwili.

Miguu imekaa sehemu ya mikono na mikono sehemu ya miguu, walipojaribu kumhoji yule mwizi wa mke wa mtu alikuwa akilia na kutiririka jasho mithili ya mwanariadha wa mbio ndefu.

Blogu zetu baada ya kuzinyaka habari hizi ilimuendea hewani Mtaalam bingwa wa kutega mitego ya kukamata michepuko, Dokta Likata, kupitia simu yake ya kiganjani 0783 83 70 93 kutaka kujua zaidi.

Thursday, August 10, 2017

MSHIKO NJE NJE

Tags
Helping hands international (H2i) ni asasi isiyo ya kiserikali (NGO) ya kimataifa inayojihusisha na kusaidia watu wanyonge na wahitaji wengine.(Yatima,wajane, walemavu,waathirika wa madawa ya kulevya,machangudoa,nk)

Mbeba maono wa H2i ni mama Luzviminda Mac Elvis, kutoka Ufilipino ambaye naye baada ya kupitia maisha magumu sana mwanzoni kutokana na kuzaliwa katika familia duni sana kiasi cha kujikuta anasomeshwa na mtu ambaye hata hakumfahamu kabisa,jambo lililomfanya aamini kuwa licha ya matatizo anayoweza kukutana nayo binadamu yeyote akipata mkono wa msaada anaweza kutimiza ndoto zake. Imani hii ilimfanya atafakari sana juu ya watu wenye matatizo kama aliyoyapitia yeye na ikampelekea sasa kuanzisha Mpango wa kuwasaidia baada ya yeye kuwa amefanikiwa kutokana na kusaidiwa. Akiwa amehitimu masomo yake na kuajiriwa huku akikeleketwa na maono yake ya muda mrefu aliamua kurejea kwao Ufilipino na kuasisi asasi aliyoiita HELPING HANDS.

Pamoja na mambo mengine asasi hii ilijihusisha na kuwasaidia watoto wa mitaani kurejea shule,watoto yatima kuwasomesha, kuwasaidia waathirika wa madawa na machangudoa kurejea hali zao za awali na kuwasaidia kuanzisha miradi itakayowafanya wajitegemee na kuishi maisha ya kumpendeza Mungu. Kufanikisha yote haya alikuwa anafadhiriwa na kampuni ya Magari ya Hyundai.

Akiwa anaendelea na kazi zake alikutana na daktari Ramiel Policarpio,ambaye alikuwa ni daktari bingwa wa meno huko nchini Ufilipino. Naye alikuwa na maono yanayokaribiana sana na ya mama Luzviminda. Dr Ramiel alikuwa inajihusisha na kusaidia wajane,wazee na wasiojiweza katika nchi hiyo. Walipokutana wakabaini kuwa maono yao yanafanana na kwamba kwa pamoja wanaguswa na makundi yenye mahitaji maalumu. Waliamua kuunganisha nguvu na kueneza huduma zao nje ya Ufilipino. Kwa hapa na jina la asasi hii likabadilika na kuwa _Helping Hands International_ badala ya *Helping Hands* kama ilivyo kuwa awali. Wakaanza kuenea barani Asia kwa kasi sana kutokana na mguso wa huduma zao kwa jamii. Jambo hili liliwafanya wapatwe na changamoto za kifedha ili kuwasaidia watu wengi waliojitokeza kutokana na udhamini wa awali kuzidiwa kabisa.

Waliamua kutafuta suluhu kwa changamoto hii na waliamua kubuni vyanzo vya mapato ili kuinua na kuendeleza huduma hizi.

Kwanza waliomba udhamini kutoka kampuni kadhaa kubwa duniani, na kutokana na ubayana wa maono yao walipata udhamini kutoka kampuni za Apple,HP,Hyundai, Diamond Bank,GAC Motors, Glo nk(hadi Leo). Asasi pia hupata misaada kutoka kwa watu maarufu wanaotaka kusaidia watu(philanthropist) na asasi mbalimbali kama vile Bill Gates Foundation.

Pili ,waliamua kubuni chanzo kingine cha kipato kutokana na michango ya wanachama ambao nao kwa hiari yao na kuguswa na matatizo ya wanyonge na kuamua kuwa sehemu ya utilikaji wa maono haya watakaojiunga na H2i. Hapa wakaweka mchango unaofanana kwa wanachama wote dunia nzima USD 40 kwa kila mwanachama. Mchango huu unatolewa Mara moja tu kwa maisha yote ya mwanachama.

Ili kuhakikisha wanasambaa zaidi duniani na kuwafikia watu wengi zaidi walibuni mfumo wa biashara unaoweza kufanywa na wanachama wenyewe ili kuwawezesha kujiimarisha kiuchumi kuenea zaidi. Ikaingizwa dhana ya biashara ya Mtandao ya kuwafikia wanachama wapya.

Iko hivi mwanachama anapoelewa maono haya na akaona anaweza kuwa sehemu ya ukamilikaji wake atajiunga na H2i na atasajiriwa kama mwanachama na balozi wa kudumu ( maisha yake yote)na baada ya kusajiriwa naye atawashirikisha wengtano habari hizi ili nao wajiunge chini yake. Mtu mmoja ukimuunganisha utalipwa dola 8(17,600) na kwa kawaida unapaswa angalau uingize watu wawili ambao nao watafanya hivyo kila mmoja. Hauzuiwi kuingiza idadi yoyote ya watu uliyonayo hata kama ni watu 100! japo kiwango cha chini sana ni watu wawili.

Kukawekwa ngazi zitakazotumika kupima utendaji kazi wa mwanachama. Kuna ngazi tano(tutaziangalia baadaye)
ambazo zilipewa vigezo na zawadi zake mbalimbali.

Mfumo huu wa biashara ukaonekana ni bora sana na rahisi kufanya. Asasi hii ilianza kuenea kwa kasi katika mabara mengine nje na Asia na mnamo mwaka 2013 H2i iliingia Afrika kupitia daktari mmoja aitwaye Timothy Odeghe (Nigeria) ambaye alikutana na Dr. Ramiel ( mmoja wa waanzilishi) na Dr Timothy alipowashirikisha juu ya hali duni walizonazo watu wake,waanzilishi walimshirikisha katika maono hayo na akapendezwa nayo na kujiunga. Alipolifikisha wazo hilo lilipokelewa kwa haraka sana na kukua kwa kasi nchini na nje ya nchi pia. Watu wengi wamewezeshwa kufikia ndoto zao na wanaendele .

whatsap 0782 065401

Tuesday, August 8, 2017

ZIJUE FAIDA KUU 4 ZA MAFUTA YA MAJANI YA MVUJE KATIKA MWILI WA BINADAMU

Tags


ZIJUE FAIDA KUU 4 ZA MAFUTA NA MAJANI YA MVUJE KATIKA MWILI WA BINADAMU

mvuje
Mke wa Mfalme Mswati wa Swaziland Nomsa Matsebula akishika Mmea wa Mvuje na kupata maelezo yake

Mpenzi msomaji siku  ya leo nimekuletea ujumbe mzuri kutoka kwa Dokta Bingwa wa tiba asili Afrika Mashariki na kati, Suleiman Bin mzee, kuhusiana na faida kuu 4 za mafuta ya mvuje.

Anaeleza kwamba majani haya haswa yalianza kuoteshwa bara hindi na baadae yalipojulikana matumizi na matumizi na faida zake zilichukuliwa mbegu zake na kusambazwa ulimwenguni. Uzuri wa mbegu za majani ya mvuje zinaota popote pale.

FAIDA ZA MAFUTA YA MVUJE YATOKANAYO NA MAJANI YAKE

Huondoa degedege kwa watoto
Mafuta yake ni kinga dhidi ya Jinamizi
Wale wenye tatizo la kuota ndoto mbaya mpatie mafuta ya Mvuje
Maradhi ya kupooza viungo vya mwili(kupararaizi).
FAIDA NA MATUMIZI YA MAJANI YA MVUJE

KUONDOA MADOA NA CHUNUSI : Unatwanga majani yake kisha unakamulia maji ya ndimu na kuyapaka usoni inaondoa machunusi na madoa sugu usoni. Unapakaa kila siku mara 1 mpaka madoa yanapotea.

Unatwanga majani yake na kuychanganya na binzari manjano na Unapakaa usoni kwajili ya kuua chunusi usoni na kuondoa na kuziba chunusi nyingine ambazo zinakua zinataka kujotokeza.

Mchanganyiko huu haswa umewasaidia watu wengi kuua chunusi usoni na mabegani na mgongoni. Pakaa kila siku mara moja mpaka chunusi zinapotea.

KUPUNGUZA UZITO : Pia unaweza kuchukua fungu moja la majani ya mvuje na kusaga na maji katika blender na kumimina kwenye glass na unakorogea kijiko 1 cha asali kwajili ya kupunguza uzito na pia kuondoa cholesterol.

MBOGA : Ukitaka kupata unga wake unakausha majani juani mpaka yanakua makavu, kisha unayatwanga na kuyachunga na kuweka katika kopo safi na kavu. Inafaa kutumia katika michuzi na roast
By tibazetutz@gmail.com

LIPSTICK

Tags
LIPSTICK NZURI INAKUFANYA KUWA NA MUONEKANO MZURI SANA
KWA MAWASILIANO
WHATSAP 0782065401

Sunday, August 6, 2017

RANGI ZA KUCHA

Tags
RANGI ZA KUCHA
Tshs 25,000/=
Popote tunatuma
Whatsap 0782 065 401

Saturday, August 5, 2017

MWANAMKE ALIYETEMBEA NA MME WA MTU AZAA KUKU

Tags
mwanamke aliyetembea na mume wa mganga azaa kuku 



mwanamke aliyetembea na mume wa mganga azaa kuku
Mchepuko alinogewa na penzi la mume wa mtu... Akaamua kwenda kwa mganga wa jadi  ili apate limbwata kali la kupora mume wa mtu...akaambiwa apeleke kuku ili kutengeneza hilo limbwata....wakafanikiwa  kulisuka hilo limbwata... Sasa...🙇 Mwenye mume a.k.a mke ...


MAFUTA YA NYWELE MAZURI SANA

Tags
hairX volume Neoforce ni mafuta ya nywele kutoka oriflame
ni mafuta mazuri sana
faida yake
yanasaidia mtu mwenye mba
inazuia nywele kukatika
inaipa nywele yako mngao wa asili
yanarutubisha nywele sana matokea ndani yake mzuri sana haichukui mda sana matokeo unayaona

kwa maelezo zaidi au anayehitaji anicheki whatsap
0782 065401
mikoa yote tunatuma

Friday, August 4, 2017

GROUP LA FURSA

Tags
👇👇👇👇👇?👇👇👇👇

⚜🔝⚜🏵⚜🏧
                👇
Sasa ni mda wa kuamka na kutimiza ndoto za watanzania.

Kwa shilingi elf 2 😳 *(ndio elf 2,000)*

  Unaweza kujipatia zaidi ya million moja ndani ya kipindi kifupi tu.

NB;-Kiwango cha kimataifa cha crowd rising ni dolar 20$, ambayo ni sawa na elf 46 za kitanzania.
              👇
Ila kwasababu mfumo huu upo kwaajili ya kuwainua wanajamii  kiuchumi, Sisi kama timu ya Crowd tanzania tulipunguza kiwango cha kuchangia ili kuwa mwanachama kwanzia Tsh20,000 hadi sasa ni Tsh2,000.

Ili kumuwezesha mtanzania yoyote kujiunga na kuweza kukuza mitaji ya wajasiria Mali, kuinua kaya maskini na pia kupanua wigo wa kusaidia vituo vya watoto yatima na wazee pia.

Kwa kuamini kabisa kuwa kiwango cha shilling elf 2 hakiwezi kumshinda mtanzania wa sasa.

Yani ni sawa na kutoka kiwango cha dollar 20$ hadi dollar 1$.

*Crowd rising inakujali*

 *Unasuburi nini?*

 👍Mfumo huu unafungua milango na mwanzo mpya wa mafanikio yako.

 🤝Jisajili katika mfumo uanze kukuza kipato na kupokea pesa kwa accounts zako mwenyewe yaweza kuwa *Mpesa, Tigo Pesa,AirtelMoney EasyPesa western union,Paypal Benki nk.*

CROWD RISINSING ni MFUMO Ulioanzishwa
 nchini CANADA mwaka 2016.

Waanzilishi
🌟 *Gerhard Rempel-canadian*
🌟 *Scott Johnson-Canadian*
 
💪Lengo Kuu la huu mfumo ni kuisaidia dunia (jamii husika ya mahali husika iweze kujikwamua yenyewe kiuchumi kwa njia ya wanajamii wenyewe.

🤑Ili uweze kujiunga na Fursa hii ya *CROWD RISING* ni lazima ujiunge kwa  kumtumia moja kwa moja kwenye simu yake *(tigo pesa,  mpesa, airtel money,  ezy pesa, PayPal,  Bitcoin, Western Union, Bank za kawaida n.k*

💵 Kiasi cha shilingi 2,000 / = Yule kushirikisha fursa hii ambaye ni Mwanachama wa *CROWD RISING* Ili akusajili. Fedha hiyo itakuwa ni yake moja kwa moja.

👉Hivyo
💰Unatoa 2,000/= kwa aliyekushirikisha Fursa hii yani(mama au Baba) ..katika mfumo.

🏵 GRADE 1 🏵

💰Kisha wewe unatakiwa (kushirikisha) watu 5....na kila mmoja atakupatia na wewe 2,000/= Tsh. Ili uwa sajili ( za Kwako hizo huwarudishii)

💰5× 2,000/= 10,000/=

🏵 GRADE 2 🏵

💰Kwenye hiyo 10,000 unatakiwa kumtuma 4,000 kwa mtu alomuunganisha alokuunganisha wewe kwa lugha rahisi ni kwamba una changia hiyo hela kwa Babu/Bibi yako. Ili aweze kukupandisha kwenye step inayofwata.

💰So, itakuwa
10,000-4,000/= Utabakiwa na Tsh 6,000/=

💰6,000-2,000/= (Mtaji ile uliyotoa kwanza )= 4,000/=

💰4,000/= ndo faida kutokana na watu wako wale watano.

💰2. Hao watano...kila mmoja ataunganisha watano kama ulivyofanya wewe...

💰Then itakuwa watu wako wa 5 (watoto) Wakishirikisha wa 5 wao= 25 Watu (wajukuu)

💰Na hao 25  Wakishirikisha watu 5 nao kila mmoja atapata  na 10,000 /=

💰Sasa basi kila mjukuu wako mmoja Atakuchangia Tsh 4,000/= toka kwenye 10,000 aliyo pata kwenye step-1 kama wewe ulivyomchangia bibi yako 4,000/= pale awali = SAWA??

💰Hivyo basi 4,000 X 25 wajukuu = Jumla ukapokea kiasi cha Tsh 100,000/=

  🏵 GRADE 3 🏵

💰Kwenye laki yako Sasa hivi utamtumia wa juu yako zaidi 10,000/=
100,000 -10,000/=90,000
 (90,000 hiyo faida yako utakula wewe na familia yako)

💰Hela inazidi kuongezeka tuuuu...

💰3) Na hao 25 kila mmoja akiunganisha watano ndani ya timu yako utakuwa na vitukuu 125. Na wao pia watakuchangia 10,000/= kila mmoja

💰Tsh 10,000 X125 wajukuu unapata  1,250,000.

💰ili kupanda step utatoa 250,000/= Utamtumia wa juu yako.

Tambua,CROWD RISING Kuna Grade ya 1 hadi Grade 15. Kwenye hiyo grade ya 4 Tayari una Milioni 1566,250,000. Ukifika Grade ya 15 utakuwa na Mamilioni mangapi?
💰HEBU TUACHE KUCHANGIANA VITU VINAVYOTAPANYA PESA, HARUSI,  KITCHEN PARTY, KIPAIMARA N.K

KUMBUKA
CROWD RISING haishiki fedha yoyote ya Mwanachama wake, KILA MWANACHAMA WA CROWD RISING ANASHIKA FEDHA ZAKE MWENYEWE KWENYE ACCOUNT YAKE MWENYEWE.

Jiunge group tujifunze kuhusu biashara
https://chat.whatsapp.com/Ix7vzjXJwGDA6AJaMDCOD5

Thursday, August 3, 2017

FURSA FURSA FURSA

Tags
👇👇👇👇👇👇👇

Welcome alk


🔆 *CROWD RISING        MADE SIMPLE & EASY.*

🏧  *(Crowd rising imefanywa kuwa nafuu na rahisi zaidi)*

    ⚜⚜⚜⚜⚜⚜
🤝 Jisajili kwa Tsh .2,000 uweze kuwa Level 1 >

🤑Wasajili watu 5> kila mmoja atakupatia Tsh.2,000= Tsh.10,000

🏵Level 1 - Tsh.2,000×5/=10,000/=

🤗💵Level 2 - Tsh.4,000/= inakupatia Tsh.100,000/=

🏵Level2 - Tsh.4000×25/=100,000

🤗💵Level 3 - Tsh 10,000 inakuptia Tsh.1,250,000/=

🏵Level 3 - 10,000×125/=1,250,000

🤗💵Level 4 - 250,000/= inakuptia Tsh.156,250,000/=

🔝💰Kadiri unavyopanda grade ya juu downlines wako wanaongezeka na ndivyo utakavyopata Faida zaidi.

     *We ar Back it's time to make mor Money for Our Community*
        🤝🤝🤑🤝🤝
Whatsap 0743394620

TUNALIAMSHA DUDE

Tags

Wednesday, August 2, 2017

FURSA FURSA FURSAAAA

Tags
HABARI ZENU...

Ni mfumo mzuri wa kuchangiana kwa mwanachama kwa mwanachama.
Lengo la mfumo huu ni kuwezeshana wajasiriamali wadogo.Hali ya uchumi ni ngumu hasa upatikanaji wa mtaji kwa ajili ya biashara,kilimo na ufugaji pia.

Hivyo basi,Gold Donation Platform imeamua kukuletea mfumo huu wa kuchangiana ili kukuwazesha kupata mtaji wa kuendesha maisha yako kwa kujipatia kwa kujiajiri mwenyewe.

JINSI YA KUWA MWANACHAMA.
01.Ili kuwa mwanachama halali wa mfumo huu unatakiwa kuchangia kiasi cha tsh.10,000/= ambayo ni ada ya kiingilio.

02.Ukishakuwa mwanachama utakuwa daraja 0.Kutoka daraja 0 kwenda daraja la kwanza utapokea michango ya tsh.ya tsh.10,000/= toka kwa watu 6

03.Daraja la kwanza pokea mchango wa tsh.10,000/= toka kwa watu 6 ambapo utapata 10,000 ×  6 =60,000/=
Toa tsh.20,000/= kwa mtu wa juu yako na .5,000/= ya wakaala utabakiwa na tsh.35,000/=

04.Daraja hili la pili utachangiwa na watu 10 @ 20,000/= hivyo utapatapa × 10= 200,000/=
Toa tsh.30,000/= ya ofisi na 70,000/= ya mtu wa juu ysko/upliner utabakiwa na  tsh.100,000/=

05.Daraja la tatu utachangiwa na watu 30 @ 70,000/= hivyo utapata 70,000 × 30=2,100,000/=
Toa tsh.100,000/= kwa ajili ya ofisi,500,000/= kwa ajili ya kumchangia upliner wako na 100,000/= kwa ajili ya kuwanyanyua wanachama wa chini yako utabakiwa na tsh.1,400,000/= ni yako anza kuwekeza sasa.

06.Daraja la tano na mwisho utachangiwa na watu 40 @ tsh.500,000/= hivyo utapata 40 × 500,000=20,000,000/=
Toa tsh.1,000,000/= kwa ajili ya ofisi na 4,000,000/= kwa ajili ya kuwanyanyua wanachama wa madaraja ya chini,hivyo utabakiwa na tsh.15,000,000/= hizo ni pesa zako halali kabisa fanya uwekezaji mkubwa sasa.

FAIDA KWA KILA DARAJA

Daraja la kwanza=35,000/=

Daraja la pili=100,000/=

Daraja la tatu=1,000,000/=

Daraja la nne=15,000,000/=

FAIDA ZA MFUMO HUU

Michango ya kila daraja inasaidia kuwapandisha wengine madaraja.

Ukiwahi kujiunga na mfumo ndio utaanza kufaidika

Madalali wanasaidia kutafuta watu wa kujiunga lkn hukatazwi kuleta watu kwa faida mfumo wetu

Kiingilio ni kidogo hivyo wengi wanaweza kujiunga

Uaminifu ndio silaha yetu hakuna website maandalizi yanafanyika

Pesa zote zinakusanywa ndio aluyepanda daraja anapewa.Hii itasaidia mwanachama kupata pesa zake kwa pamoja ili apange bajeti yake vizuri na kwa muda muafaka.

Jiunge sasa kwa mtaji wa 10,000/= unapata faida ya tsh.15,000,000/= Tayari umeshapata mtaji mkubwa kwa uwekezaji.

Malipo ya daraja LA nne yatafanywa kupitia bank kwakuwa pesa ni nyingi haziwezi kuhifadhiwa kwenye simu.

Welcome all "Together we can"

KWA MAELEZO ZAIDI NICHEKI WHATSAP 0782065401 businesslady557@gmail.com

ASANTENI

FURSA FURSA FURSA

Tags
✍🏻Balozi wa (h2i).

👥Hii Ni Kwa ajili ya wageni wote mnaotaka kujua kuhusu 👉🏻helping hands international ✍🏻

🌿karibu mgeni ................

1⃣ukifundishwa wafundishe na wengine
2⃣ukijiunga waunge na wengine
3⃣ukisoma ukashindwa kuelewa uliza maswali yote yatajibiwa
4⃣ukielewa fursa fungua account yako haraka ujikwamue kifedha🚼

👨‍👨‍👧‍👦👨‍👨‍👧‍👦Team success the best💪💪💪💪💪

🗣🗣hayaa sasa mwongozo huu hapa chini soma kwa makini👇👇

🔑🚖🔑🚘🔑🚖🔑
H2i NI NINI??

H2i (Helping Hands International) ni Taasisi isiyo ya KISERIKALI (GLOBAL MOBILE NGO) yenye dhumuni kuu la kuweka tabasamu kwenye nyuso za watu wasiojiweza na wale ambao ni wanachama/mabalozi.

⚡Haiuzi wala kununua bidhaa yoyote.
⚡Ina husika na kutoa huduma za kijamii tu.
⚡ Ni ya kuamimika na yenye uhakika

*H2I PARTNERS & SPONSORS:*(INADHAMINIWA)👇🏿

1. HYUNDAI MOTOR COMPANY (South Korea Republic)

2. APPLE IPAD INCORPORATION ( California, USA)

3. HP COMPANY LTD(USA)

4. GAC $ CAG MOTORS

5. LENOVO COMPUTERS

6.  LG

7. DIAMOND TRUST BANK

8. ZENITH BANK etc

9. YOU YOU YOU.👈

💥 Inahitajika $40 sawa na shilingi elfu 90 tu ambazo zitakuwesha kusajiliwa na kufunguliwa akaunti ya H2i,  kufuatilia kazi zako, timu /staff na malipo yako kila siku.

INAFANYAJE KAZI??
Ni mpango wa kushirikisha na kuitangaza H2i na wadhamini wake kwa ndugu, Jamaa na marafiki zako. Kwa kufanya hivyo unalipwa $8 hadi $58 kila siku. Pia
Kuna zawadi kwa kila Hatua utakayofikia.
Ziko Hatua (stages) 5 zinazokupa zawadi.
Unahitaji kushirikisha watu wawili tu nao watashirikisha wengine wawili,kila mtu atashirikisha watu wawili tu na unalipwa $8 sawa na TSH 17,600 kila unaposajili mtu/balozi chini yako muda huohuo.

🎁 FAIDA ZAKE
1. Hatua ya kwanza
🎉 Utalipwa kati ya $ 8 =17,600/= hadi $58 =127,000/=

2. Hatua ya Pili
🎀Utalipwa $ 1,000 = 2,200,000/=
🎀Apple iPad or laptop Hp

3. Hatua ya Tatu
Utalipwa $ 3,000 = 6,600,000/=
🚘🀽Gari mpya Hyundai elantra yenye thamani ya $ 22,000 sawa na TSH. Mil 48.4
🎊 Kupendekeza watu 2 kila mwezi wasio jiweza kutoka eneo lako ambao sio wanachama ambao watasaidiwa $ 1,000 kila mmoja sawa na.tsh 4,400,000/=
✈ Safari za nje ya nchi ambazo zimelipiwa gharama zote na h2i.
🎓Utapatiwa mafunzo ya ujasiriamali na uwekezaji nje ya nchi.

4. Hatua ya Nne
💰Utalipwa $ 6,000 = 13,200,000/=
🚖 Gari mpya ya kifahari hyundai ix35 Jeep yenye thamani ya $ 27,000.
👨‍👩‍👧‍👧 Kupendekeza kituo kimoja cha watu wasiojiweza ili kisaidiwe na h2i.
Kupewa mkopo usiokuwa na Riba $12,000
Mafunzo ya ujasiriamali na uwekezaji

5. Hatua ya Tano
💸 Utalipwa $ 12,000 = 26,400,000/=
🏡 Kudhaminiwa gharama za ujenzi wa nyumba $ 40,000
📚Kulipiwa gharama za.masomo kwa watoto wako = $ 2,000.
Kupewa mkopo usio na riba $44,000
Kuitangaza H2i duniani kote kwa udhamini wa H2i
Kuwa mjumbe wa board ya H2i na kuhudhuria vikao @$80,000
Kulipwa kiinua mgongo kila mwaka $5,000


Nakushauri uielewe vyema fursa hii kisha jisajili na HELPING HANDS INTERNATIONAL (H2i) kwa ajili ya manufaa yako na jamii inayokuzunguka.
🔑🚘✈💸💰🎁🎉💥⚡📢🎀🚖🏡💵

www.helpinghandsinternational.biz👆👆👆👆👆👆INGIA KWENYE HII WEBSITE ICHUNGUZE KWANZA KAMPUNI KABLA HUJAJIUNGA


kwa mawasiliano zaidi
nicheki whatsap 0782065401

Sunday, July 30, 2017

NEC YALAANI UPOTOSHAJI NA TUHUMA DHIDI YAKE

Tags
NEC YALAANI UPOTOSHAJI NA TUHUMA DHIDI YAKE

Saturday, July 29, 2017

KAMA UNATAKA KUWA SOFT HII KIBOKO

Tags
Hizi ni OPTIMALS BODY LOTION Zipo 3 tofauti.. 1. Firming lotion- hii lotion unapaka sehemu husika mwilin kuikaza ngozi yako iliyolegea
 Au unaweza ipaka mwili mzima ili ngozi yako iwe firm/strong  2. Nourishing lotion - hii imetengenezwa kwa mafuta ya argan ambayo ni mazur sana....anapaka mtu mwenye ngozi kavu sana mwilin.... 3. Smoothing lotion...hii unapaka kama unaoenda kuwa soft na nyororo mwilin..imetengenezwa na parachichi,kama unavyojua parachichi ni kiungo bora sana mwilin...anatumia mtu mwenye ngozi kavu ya kawaida
NICHEKI
CALL/WATSAP/SMS 0782065401

FURSA YA KUJIONGEZEA KIPATO KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI

Tags
Zijue biashara ambazo waweza kuanza nazo Bure kabisa

Wajasiriamali wengi wamekuwa wakitafuta mbinu mbalimbali za kufanya biashara aidha kwa kuuza huduma au bidhaa. Lakini wachache sana hasa Afrika ambao wanafikiria kufanya biashara katika intaneti. Kuna mbinu nyingi tofauti za kufanya biashara katika intaneti ambazo zinatoa fursa kwa wajasiriamali kujiongezea kipato.

1. Kuuza Bidhaa za Biashara Yako Kupitia website.
Unaonesha biadhaa zako na bei,wanunuaji wanaziona na kuweka oda ya manunuzi. Wanalipa kwa Kadi ya Benki Credit /Debit Card) na fedha inaingia katika akaunti yako benki. Au kwa kutumia malipo kwa mfumo wa simu kama M-Pesa ,Tigo Pesa na Airtel Money kwa Tanzania.

2. Kuuza bidhaa za biashara ya watu wengine kupitia blog/website.
Unajisajili na baadhi ya makampuni yanayouza bidhaa mtandaoni duniani kama Amazon na eBay na kisha kuonesha bidhaa zao katika tovuti au blogu au katika mitandao ya kijamii kama facebook na twitter. kisha watu wakinunua bidhaa hizi kupitia matangazo yako basi unapata kiasi cha malipo waliyofanya yaani kamisheni.Baadhi ya makampuni hayo ni:-
Amazon
eBay

 3. Kuuza Matangazo Kupitia website au Blog
Kuna makampuni mbalimbali dunia ambayo yana wakutanisha makampuni, wafanyabiashara na wamiliki wa mitandao kama blog au website.

Mkampuni na wafanyabiashara wanajiunga nakutuma matangazo ya biashara yao na wenye blog/website wanajiunga nakuruhusu matangazo kuonekana katika website zao.

Bloggers/wamiliki wa website wanalipwa kila tangazo linapoonekana katika tovuti au watu wanapo bonyeza matangazo haya.
Mfano ni adsense , chitika , BuySellAds nk.


4. Kufanya Kazi za Ajira Kupitia Mtandao
Kuna makampuni ambayo yanataka wafanyakazi katika mtandao ambao wanaweza kufanya kazi fulani na wanalipwa wakikamilisha.

Baadhi ya kazi ni kama kutengeneza website's, kutengeneza programu za komputa au simu, kuchapa,kusikiliza na kutohoa suuti kwenda maandishi n.k

Badhi ya mitandao inayotoa huduma hizi ni  surveycompare.net , odesk.com, onlinejobs.net ,elance.com , peopleperhour.com na  fiverr.com

 5. Kutangaza Biashara kwa Kutuma Linki
Mbinu hii ndiyo hasa ninayopenda kuisisitiza hapa. Sababu ya kusisitiza nimkwasababu inafanya kazi kwa haraka na urahisi. Huhitaji kuwa na website wala blog kufanikisha. Kama tu upo katika mitandao ya kijamii kama facebook,twitter,intagram na mingine kama skype,whatsapp na pia kwa email unaweza kufanikiwa sana kwa kutuma linki ambayo marafiki zako wakiifungua utapata malipo.

Kama una marafiki wengi basi uwezo wako wa kufanikiwa ni mkubwa sana

mfano wa link hizi ni:- click2refer
Kampuni hili linakutaka ujiunge kisha ushirikishe marafiki zako kwa kuweka linki katika mitandao ya kijamii,tovuti ,blogu na barua pepe. Kila mtu atakayefuata linki unapata $0.5 sawa na Tsh. 1100/-Na ukijiunga tu unapata $2 kwenye akaunti yako.
Na kujiunga na program hii bonyeza link hii http://Paid2Refer.com/ref.php?refId=319250

Friday, July 28, 2017

HELPING HANDS INTERNATIONAL

Tags
Ruksa kupitia fursa hiyo kama unaswali uliza ujibiwe kuhusu h2i    
H2i NI NINI??

*TIN NO: 133039686*

*LESSEN NO: 48716*

*BRELA NO: 128802*

FULSA TUNAYO ONGELEA NI HII


H2i (Helping Hands International) ni Taasisi isiyo ya KISERIKALI (GLOBAL MOBILE NGO) yenye dhumuni kuu la kuweka tabasamu kwenye nyuso za watu wasiojiweza na wale ambao ni wanachama/mabalozi.

⚡Haiuzi wala kununua bidhaa yoyote.
⚡Ina husika na kutoa huduma za kijamii tu.
⚡ Ni ya kuamimika na yenye uhakika

💥 Inahitaji $40 sawa na shilingi elfu 90 tu ambazo zitakuwesha kusajiliwa na kufunguliwa akaunti H2i,  kufuatilia kazi zako, timu na malipo yako kila siku.

INAFANYAJE KAZI??
Ni mpango wa kushirikisha watu, kuitangaza H2i, kualika watu kwenye semina /mafunzo, kuwafundisha na kuwasajili mabalozi wapya wa H2i.

Kuna zawadi kwa kila Hatua.
Ziko Hatua (stages) 5 zinazokupa zawadi.
Unahitaji kushirikisha watu wawili tu nao watashirikisha wengine wawili,kila mtu atashirikisha watu wawili tu na unalipwa $8 sawa na TSH 17,600 kila unaposajili mtu chini yako muda huohuo.

🎁 FAIDA ZAKE
1. Hatua ya kwanza
🎉 Utalipwa $ 26=57,200/= au $58 =127,600/=

2. Hatua ya Pili
🎀Utalipwa $ 1,000 = 2,200,000/=
🎀Apple iPad au hp laptop mpya.
🎀 Kiwanja kilichopimwa na hati miliki (Low density)
Laini yako ya simu itaunganishwa kifurushi cha mwezi kisichokuwa na Ukomo kwa.ajili y kuwasiliana na wanachama wa h2i bure.

3. Hatua ya Tatu
Utalipwa $ 3,000 = 6,600,000/=
🚘🀽Gari mpya Hyundai elantra yenye thamani ya
 $ 22,000 sawa na TSH. Mil 48.4
🎊 Kupendekeza watu 2 kila mwezi wasio jiweza kutoka eneo lako ambao sio wanachama ambao watasaidiwa $ 2,000 kila mmoja sawa na.tsh 4,400,000/=
✈ Safari za nje ya nchi ambazo zimelipiwa gharama zote na h2i.
Utapatiwa mafunzo ya ujasiriamali na uwekezaji.

4. Hatua ya Nne
Utalipwa $ 6,000 = 13,200,000/=
Gari mpya ya kifahari hyundai ix35 Jeep yenye thamani ya $ 27,000.=58,000,000/=
👨‍👩‍👧‍Kupendekeza kituo kimoja cha watu wasiojiweza ili kisaidiwe na h2i.
Kupewa mkopo usiokuwa na Riba $12,000
Mafunzo ya ujasiriamali na uwekezaji

5. Hatua ya Tano
 Utalipwa $ 12,000 = 26,400,000/=
 Kudhaminiwa gharama za ujenzi wa nyumba $ 40,000
Kulipiwa gharama za.masomo kwa watoto wako
 = $ 2,000.
Kuwa mjumbe wa Bodi ya Helping Hands International
Kulipwa kiinua mgongo (pension) =$5,000 sawa na Tshs Mil. 11 kila mwaka
Safari za kimataifa kuitangaza H2i


Nakushauri uielewe vyema fursa hii kisha ujiunge kwa ajili ya manufaa yako na jamii inayokuzunguka.


Join me Now


KARIBU SANA
Mawasiliano whatsap 0782065401

Monday, July 24, 2017

App mpya Adf.ly Tengeneza pesa

Tags

Tengeneza Pesa online hadi $ 100 kwa mwezi kupitia Adf.ly






Adf.ly ni site ambayo inamruhusu mtu kufupisha link ndefu kuwa fupi kama vile http://bongotechno.blogspot.com kuwa http://adf.ly/1gdeMw , Sio tofauti sana na bit.ly, tinyurl.com au goo.gl . Hata hivyo Adf.ly iko tofauti na hizo kwa sababu Adf.ly wanaweka matangazo yao katika hizo link,

Yani hivi: Pindi mtu akifungua link iliyofupishwa na Adf.ly kutakuwa na tangazo kwanza ambalo linakuwa kwa sekunde 5 kisha mtu atapeleka katika link husika. Mfano: facebook.com itakuwa http://adf.ly/1gdeMw , Hivyo mtu kabla ya kupelekwa facebook litatokea tangazo kwanza kwa sekunde 5 kisha atapelekwa Facebook.

Jinsi Adf.ly inavyofanya kazi

Adf.ly sio tofauti sana na bit.ly au goo.gl tofauti yake ni kwamba adf.ly kunakuwa na matangazo katika link zao, Adf.ly inafanya kazi pale mtu akifupisha link yake kisha akaipost facebook, twitter au kwenye forums kisha mtu akija kuclick ile link ambapo litatokea kwanza tangazo na kisha huyo mtu akiliangalia kwa sekunde 5 kisha akapelekwa kweenye link husika basi wewe utalipwa au mfano bofya hii link ya http://facebook.com iliyofupishwa kuwa http://adf.ly/1gdeMw.

Kwa kifupi

Mtu akiliangalia tangazo kwa sekunde 5 kisha akapelekwa katika link husika basi wewe utalipwa

Kiasi gani naweza kutengeneza na Adf.ly?

Adfly wanalipa dola 0.5 hadi dola 9 kwa kila views 1000 ,
(Inategemea na Nchi husika)

NB:

Facebook ina watumiaji takribani milioni 500 kwa siku, Hivyo hukosi kupata Click 1,000 kwa siku, Unaweza ukapost link zako kwenye magroup ya Facebook ili kupata click nyingi

Malipo yanakuwaje


Adf.ly wanalipa kiwango cha chini kuanzia Dola 5, Hivyo kama ukifikia dola 5 basi watakulipa automatically kwenye akaunti yako ya PayPal, Payoneer au Payza (Kwa Tanzania tumia Payza au Payoneer ) .

Jinsi gani kutengeneza pesa kutoka Adf.ly?

Kitu kikubwa ambacho nakipenda kutoka Adf.ly ni kwamba hata mtu ambaye hana blogu au hana ujuzi wowote kwenye internet naye anaweza kutengeneza pesa. Hakuna ujuzi wowote unaohitajika ili kujipatia kipato kutoka Adf.ly. Ili uweze kujiingiza kipato kutoka adf.ly unatakiwa kushare link zako ili upate click katika hizo links.


KUMBUKA

Mtu ataclick link yako kama akivutiwa na hicho kitu , hivyo weka link za vitu vinavyowavutia watu.

Hizi ndio sehemu ambazo unaweza ukashare links zako .

1. Facebook.com


Mamilioni ya watu wanatumia Facebook kila siku, Hivyo Facebook ni sehemu bora ya kupost links zako na kupata watu wa kuclick hizo links.

2. Twitter.com


Ukiwa na followers wengi twitter unaweza ukapost links zako ili follower wako wa click hizo link

3. Youtube.com


Pia unaweza ukatumia Youtube.com kuweka link zako kwenye maelezo ya video

4.Forums


Kuna forum nyingi ambazo zinaruhusu kuweka link, hivyo unaweza ukapost link zako kwenye forums

Blogu au website


Kama una blogu au website unaweza ukaweka link zilizofupishwa na Adf.ly au hata kama hauna website unaweza kucomment link kwenye blogu .
Hivyo kwa kutumia Adf.ly utaweza kujiongezea kipato kwa urahisi zaidi
Jiunge nao kwa kubofya Hapa

Tangazo

tangaza biashara yako hapa kupiyia blog hii kwa mawasiliano nicheki whatsapp 0782065401

KUBORESHWA KWA WHASAPP

Tags

WhatsApp imeongeza feature MPYA ! .... Fahamu Zaidi



WhatsApp inazidi kujiboresha zaidi katika mfumo wake, hivi karibuni tumeona feature nyingi ambazo zimeongezewa kwenye mtandao huu.
Lakini pia kwa sasa WhatsApp imeongeza feature mpya ambayo ina mruhusu mtumiaji kutuma file lolote lenye ukubwa hadi MB 100. Hivyo WhatsApp inazidi kuturahisishia maisha yetu.

Thursday, July 20, 2017

ELIMU YA UJASILIAMALI

Tags
EBU TUANGALIE HILI SOMO LEO.
Je, Unahitaji Kufanya Biashara Na Hujui Ni Biashara Ipi Ya Kufanya? Soma Hapa Kujua Ni Biashara Ipi Ya Kuifanya Sasa

Wapo watu ambao mara nyingi hujiuliza ni biashara gani wafanye katika maisha yao ambayo itaweza kuwaingizia pesa nyingi ya kutosha. Ni wazo ambalo hutokea kutokana na pengine kuona kila biashara wanayoitazama kwa wakati huo kama hailipi. Hali hiyo husababisha mkanganyiko mkubwa wa mawazo ambao husababisha wabaki njia panda.

Kama imeshawahi kukutokea hali kama hii kwa namna moja au nyingine makala hi ni muhimu sana kwako kuisoma. Kwa kusoma makala hii inakuonyesha kwa uwazi orodha za biashara ambazo unatakiwa uzifanye ukiwa katika mazingira uliyopo. Karibu kila biashara ipo hapo, kazi ni kwako kuchagua mojawapo unayoipenda na kuifanya, acha kulalamika tena kuwa huelewi nini cha kufanya.
Twende kwa pamoja kuzijua biashara hizo ambazo unauwezo wa kuzifanya na kukufikisha kwenye mafanikio makubwa:-

1. Kutengeneza na kuuza chaki

Hii ni moja ya biashara nzuri unayoweza kuifanya na soko lake liko juu. Unaweza ukanunua mashine yako za kutengeneza chaki na kisha ukaanza kuzisambaza kwenye stationary au mashuleni. Uzuri wake mashine hizi za kutengenezea chaki gharama yake pia sio kubwa sana ni ya kawaida tu ambayo hata wewe unaweza kuimudu. Hii inaweza ikawa ni sehemu mojawapo ya kuingizia kipato chako.

2. Kufungua duka la kuuza asali

Uzuri wa bidhaa hii muda mwingi soko lake lipo juu. Ni biashara ambayo unaweza ukaifanya kwa kuagizia asali kutoka kwa wakulima kama nilivyo mimi na kisha kuanza kuiuza moja kwa moja katika vipimo vinavyotakiwa.

Kama huwezi kufungua duka hili unaweza ukafanya mbadala wake ukaenda kutengeneza mizinga wewe mwenyewe na kuwafuga. Pia hii ni biashara ambayo ni nzuri kwako kukuingizia kipato kikubwa kwa urahisi.

3. Kuanzisha biashara ya kuuza vyakula katika matamasha mbalimbali

Hapa siyo lazima uwe na Hotel au Mgahawa ndiyo uanzishe biashara ya namna hii. Kikubwa unahakikisha unakuwa makini na sherehe katika eneo ulilopo. Kama ni kuweka mawakala watakao kusaidia kukujulisha kuwa eneo fulani kuna sherehe ya aina fulani na siku fulani itakuwa nzuri zaidi kwako kuchangamkia tenda hizo mapema.

4. Kujenga nyumba za kulala wageni

Kama mtaji wako unaruhusu hii ni moja kati ya biashara nzuri kuifanya. Ni biashara ambayo hahitaji kukimbizana sana ukishamaliza kujenga, zaidi unatakiwa kuweka mfumo sahihi wa kusimamia na kuanza kuingiza pesa. Na kwa bahati nzuri kwa Tanzania yapo maeneo mengi ambayo yanauhitaji mkubwa wa huduma hii. Ni Biashara nzuri kuifanya hata kama umri umeenda, kwa sababu haihitaji mkimbizano mkubwa.

5. Kutengeneza matoroli/mikokoteni na kuikodisha

Katika hili hapa unatakiwa kutengeneza kwa idadi unayoitaka na unamwachia kijana ambaye anaikodisha huku ukiendelea na majukumu mengine. Unaweza ukaiona ni biashara ndogo lakini fuatilia kwa waliowekeza nguvu na mawazo yao hapo wakwambie kile wanachokipata utashangaa.

6. Kuazisha huduma ya AIRTEL MONEY, MPESA, TIGOPESA, EZYPESA

Hakuna ubishi hii ni moja ya huduma ambayo imezagaa kila eneo na watu wengi wanaihitaji. Kikubwa ni juhudi yako na kuzingatia eneo uliloweka biashara yako liwe hasa la mzunguko mkubwa zaidi kukuwezesha kufanya biashara hii vizuri.

7. Kupamba maharusi na kumbi za harusi/sherehe

Pia unaweza ukajiingiza hapa na kushughulika na kupamba tu maharusi. Kama hujui sana ni kitu cha kujifunza pia, kisha unachangamkia sherehe zinazojitokeza mjini.

8. Kuanzisha kilimo cha kisasa

Wengi wanaposikia kilimo kichwa kinakataa. Lakini ikiwa utawekeza kwenye kilimo cha kisasa na cha kitaalamu ambacho unategemea kumwagilia zaidi, uwe na uhakika unatoka. Yapo mazao mengi unaweza ukalima lakini mojawapo ni kitunguu. Inaweza ikawa ni njia rahisi ya kufikia mafanikio yako kuliko unavyofikiri.

9. Mashine za kusaga na kukoboa nafaka

Pia unaweza ukajitengenezea kipato chako na kuwa kikubwa na cha uhakika kwa kufunga mashine hizi. Kila siku watu wanahitaji kula hivyo ukifunga mashine hizi ni rahisi sana kupata wateja wa kuwauzia unga na kupata faida. Na uzuri mahindi ya kusaga yanapatikana maeneo mengi kwa wingi kama kule Kibaigwa (Dodoma), Gairo(Morogoro), Kiteto(Manyara) na maeneo mengine mengi kama Iringa na mbeya.

10. Yadi kwa ajili ya kupaki magari

Kitu unachotakiwa hapa ni kununua kiwanja na kukigeuza kuwa yadi ambapo magari yanakuwa yanapaki iwe kwa kulala au kwa muda. Kila gari linalokuwa linapaki linakuwa linatozwa kiasi fulani cha pesa ambacho kinakuwa ndiyo hiyo huduma unayoitoa.

11. Kuanzisha darasa kuwafundisha watoto kama tuition n.k

Zipo aina nyingi sana za biashara ambazo unaweza ukazifanya na kukuingizia kipato. Uamuzi uko mikononi mwako.
Zipo biashara zaidi ya 100 nitaendelea siku nyingine wapendwa naomba niwaachie hicho kipande.
Kwa ushauri zaidi niandikie kupitia
E-mail;  businesslady557@gmail.com
Whatsap: 0782065401https://businessladytz.blogspot.com/?m=1

Wednesday, July 19, 2017

ORIFLAME COMPANY

Tags
ORIFLAME
                Ni neno la kiswiden lenye maana ya neno la ASILIA, ni kampuni ya utengenezaji na uuzaji wa vipodozi kwa njia ya moja kwa moja. ORIFLAME ilianzishwa mwaka 1967 huko stocknlom Sweden na ndugu wawili JONAS    NA   ROBERTH AF JOCHNICK.  ORIFLAME iko zaidi ya nchi 60 duniani inauzoefu wa miaka 50 inajihusisha na bidhaa za asilia kuanzia kichwani mpaka miguuni, kwa wanawake,wanaume na watoto. Bidhaa zetu zinatokana na mimea,matunda,maua,maziwa na asali.

ORIFLAME  inakupa fursa tatu (3) kama zifuatazo:-

1.                        KUPENDEZA/LOOK GREAT.
Hapa utaweza kujipatia vipodozi kwa ajiri ya matumizi yako wewe mwenyewe kwa ngozi yako, muonekano wako ndivyo vitakufanya uonekane wa daraja Fulani la kueleweka. Tunatoa vipodozi kulingana na ngozi yako, na vipodozi vyetu havichubui, watu wa siku hizi hawataki mambo hayo kutumia vipodozi vikali, vipodozi vyetu ni kulainisha ngozi iliyokavu,kukunjamana,chunusi,kukungarisha kubaki na ngozi ile ile. Ukiwa member utanunua bidhaa kwa punguzo la bei 23% kwa ambaye siyo mwanachama atanunua kwa bei ya kampuni ni tofauti na bidhaa zingine tunazouziwa.

2.                        KUTENGENEZA PESA/MAKE MONEY
Utaweza kujiongezea kipato/pesa kwa kuuza bidhaa za ORIFLAME.
Ukiwa member utanunua bidhaa kwa bei ya chini tofauti na Yule ambaye siyo mwanachama kasha utauza kwa bei ya juu, hivyo utajipatia faida, na utaweza kutengeneza mtandao wako wa kibiashara maana ukishamuuzia mtu mmoja akisha pendeza wateja wengine watakutafuta kupitia yeye ili na wao waweze kupendeza hivyo basi utakuwa ushajitengenezea pesa cha muhimu ni kuongea na wateja kwa lugha nzuri.
        Kiufupi vipodozi vya ORIFLAME vinajiuza, hauhitaji kutumia nguvu ila ni akili yako tu, mtu anaponunua bidhaa na akapata matokea mazuri ndani ya mda mfupi tu hivyo itapelekea yeye kufurahia bidhaa zako na kupelekea kukutangazia bidhaa yako hivyo kuvutiwa na watu wengine, hivyo kutengeneza pesa mtandaoni ni rahisi sana. Kwenye kutengeneza pesa pia kampuni itakupa bonus kila mwisho wa mwezi kwa kila manunuzi uliyoyafanya,pia kampuni itakupa zawadi ya pesa taslimu endapo utafikia kiwango maalum cha points za mauzo zilizopangwa zawadi hizo kuanzia $1000 na kuendelea unakosaje kwa mfano!!!...

3.                        KUFURAHIA MAISHA /HAVE FUN
Hapa ni pale kampuni itakapokupatia nafasi za kujiachia mwenyewe, namaanisha kula bata yani, utapata tiketi za bure kusafiri ndani na nje ya nchi, yani iko hivi unatoka kwako ukiwa na begi lako tu, kila kitu utalipiwa na kampuni, utalala hotel nzuri, utakula vizuri unachokitaka n.k
        Pia kwenye fursa hii utaweza kukutana na marafiki wapya wenye mitazamo chanya. Kwenye kufurahia maisha utaondoa stress zisizo na faida maana muda mwingi utakuwa bize na biashara yako, pia kwenye kufurahia maisha kutakufanya uwe STAR yani ni hivi, unapoweza kufanya biashara kwa kiwango cha juu kinachotakiwa na kampuni basi utajulikana na mataifa mbalimbali, utatangazwa kila kona, kampuni itakuweka kwenye clips za kufundisha n.k
Kutangazwa kwa mazuri raha jamani.
Karibuni sana kwenye fursa hii ya kimataifa, fursa isiyo na makuu, fursa rahisi kabisa, fursa isiyochagua tajiri wala masikini, fursa inayowezekana kwa kila mtu.
Napenda kukumbusha namna ya kupata faida nzurina kukamilisha ndogo zetu na ORIFLAME.
        Kila bidhaa unayonunua ORIFLAME ina point imeandikwa bp kadhaa, hizo bp ndizo zinatengeneza bonus, kuanzia bp 200 utalipwa bonus. Na hizi ni za kwako na team yako, yan na wale walioingia chini yako yan downliners wako.


        Mfano:-
                Umeingiza watu watatu (3) mwezi huu na hao wakafanya manunuzi ya bp 100 kila mmoja, jumla zitakuwa bp 300 na zakwako jumla bp 400 utakuwa na 3%, mwezi jao tena wale nao wakaingiza watatu (3) hapo kila mmoja atakuwa na team ya watu wanne (4), nawewe unaingiza watatu tena jumla utakuwa na member 15. Na kila mmoja akafanya bp 100, jumla utakuwa sawa nab p 1600 ambayo ni sawa na 9%. Ni tofauti na wale wachini yako utalipwa tena.

        Hiyo ndio mtandao au network business, nimekupa kidogo karibu kwenye mafunzo kwa ujuzi zaidi.
Mfano:-
        Kuanzia
12%  hadi   18% ni manager
21% ni senior manager
Manager akiwa kwenye cheo hicho mara 6 ndani ya mwaka anapanda cheo na kuwa DIRECTOR Na Kulipwa Dollar 1000 cash award tofauti na bonus yake, cha muhimu ni kuwa na team kubwa  na inayochapa kazi, uwezi kuwa manager kama hauna wa kumuongoza, unganisha wengine wengi haijarishi elimu yako,amua leo kuwa boss.

        ORIFLAME inakulipa kila mwezi kwa jinsi unavyofanya kazi, kila bidhaa na inajumlishwa mwisho wa mwezi unalipwa bonus kuanzia point 200 kwende juu.

Hii ni point table
200 -  599= 3%
600 – 1200= 6%
1200 – 2399=9%
2400 – 3999=12%
4000 – 6599=15%
6600 – 9999=18%
10,000=21%

Na hii ndio table ya bonus yake iko hivi
3%= 4700 – 14,000 Tshs
6%= 28,100 – 56,200 Tshs
9%= 84,300 – 168,600 Tshs
12%= 224,900 – 374,800 Tshs
15%= 468,600 – 773,100 Tshs
18% = 927,000 – 1,405,700 Tshs
21%= 1.6m Tshs

Hii inategemea network yako imekaaje, karibu kwenye training ujifunze kupata hizi pesa haihitaji ujue mambo mengi. Ni yale yale lakini uyafanye kila mara kwa mara.

Njia tano (5) za kufanikiwa ni
1. Determination
2. Hard work
3. Focus
4. Training
5. Recruit  
       
Bidhaa tulizonazo nikama zifuatazo
i)                             Bidhaa za usoni
ii)                          Bidhaa za mwilini
iii)                       Bidhaa za nywele n.k

Kwa mawasiliano zaidi:-
E-mail:- businesslady557@gmail.com
Call:-  0782 065 401
WhatsApp:- 0782 065 401
Sms:- 0782 065 401


facebook:- urembo na asili yangu

FOUNDATION FROM ORIFLAME

Tags
Foundation from Oriflame Product
Tshs 39,000/= only
Whatsap 0743 394620

Tuesday, July 18, 2017

NORTH FOR MEN

Tags
North for men ni set ya kinababa au wanaume,ambayo inajumuisha soap bar,hair and body wash,deo-roll on,advanced control face cream,shaving foam na soothing face cream.
Bila kusahau deo spray  Faida
1.Soap Bar,hii ni sabuni ya kuogea(ya kipande)ambayo husaidia kuondoa uchafu mwilin na kuacha ngozi ikiwa safii na muonekano mwororo
Kwanza,inaondoa seri silizokufa juu ya ngozi yako ambazo haziondoki kwa sabuni ya kawaida
Pili,kwa mtu mwenye mafuta inamfaa zaid jambo na wengine wanatumia
Tatu,Ngozi inakua katika mwonekano mzuri
 Nne,imezibitishwa na wataalam kuwa ni rafiki kwa ngozi pamoja na kuzuia magonjwa ya ngozi.
2.Hair and Body wash,hii pia ni sabuni ambayo unaogea toka kichwan mpaka miguuni yaani mwili mzima
Soap bar na Hair and body wash kwa pamoja zinatunza unyevunyevu wa ngozi
1.Inaondoa seri zilizokufa mwilini 2.Inaimalisha nywele za baba 3.wataalam wameipima pia 4.pia inauacha mwili ukiteleza
Deo spray hii ni deodorant ya kuspray sehemu za vikwapa nayo inafanya kazi kama Deo roll on

3.Deo-roll on na Deo spray.Deo roll on in deodorant ya kupaka sehemu za vikwapa ambayo inasaidia kuondoa michirizi mieupe itokanayo na jasho na inadumu ndani ya Massa 48 yaani Siku mbili
Faida zake kwa pamoja,zinaondoa harufu mbaya itokanayo na vikwapa na kuondoa michirizi inayobaki baada ya jasho kukauka.
4.Advanced age control face cream,Hii ni cream ya uso ambayo hutumika kupaka uson kama kifukuza uzee kwa baba au mikunjo ya uso
Faida zake
1.uso unakua nyororo au mwororo tena unavutia
.Ngozi ya uso inabakia na unyevunyevu ndani ya masaa 24.  5.Shaving foam,inatumika wakati wa kunyolea ndevu kwa baba ambayo hii inaweza tumiwa na mtu mwenye ngozi sensitive ya uso,mfano mtu ambaye akinyoa ndevu tu anatoka mapele mengi au ngozi inabadilika kuwa nyeusi
Faida
1.kidevu kinateleza
2.Inazuia ngozi ya kidevu kukakamaa wakati wa kunypa
3.husikii maumivu wakati wa kunyoa
4.inaondoa miwasho na kidevu kutekenya
5.inalinda ngozi ya kidevu kutoka vipele baada ya kunyoa.
6.Soothing face cream,hii ni cream ambayo unapaka baada ya kunyoa ndevu ili kulinda kidevu 😋😋😋
Call/watsap 0743394620

OPTIFRESH DAWA YA MENO

Tags
Meno yenye rangi ya njano tumia optifresh kungarisha meno yako kuwa mwenye tabasamu zuri na linalovutia wakati wote afya iko kwenye kinywa chako jari kinywa chako na optifresh na inaharufu nxur Sana
IPO ya watoto na watu wazima pia
Kwa mahitaji nicheki
Piga/watsap/SMS 0743394620

MAKE UP

Tags
Make up
Kutoka oriflame company
Inasaidia kupunguza madoa usoni
Inakufanya uwe na muonekano mzuri
Inakuweka comfortable
Kwa mahitaji zaidi nicheki
Whatsap/sms/call 0743394620

Saturday, July 15, 2017

LIPSTICK AMAIZING

Tags

Lipstick amaizing kabisa 
Sio kwa urembo huu jaman ebu fanya kunicheki fasta yani
Call 0743 394620
Watsap 0743 394620
Facebook: urembo na asili yangu
Instagram : urembo na asili yangu

karibu businessladytz.blogspot.com

Tags
Karibu sana mpenzimsomaji wa blog hii ya business lady Tz ambayo itakupa habari mbalimbali zikiwemo za uchumi, kilimo, mafunzo ya ujasirimali, Makala mbalimbali za kimaisha,habari na matuki ya kila siku na vitu ngine vingi.


Ukiwa na tangazo la biashara au huduma yoyote ile unataka kutangaziwa leta utangaziwe kwenye blog hii inayotembelewa na watu wengi Tanzania kenya uganda na ruwanda. Utalipia kiasi kidogo tu cha pesa kwa mwezi.

Watumie rafiki zako jina hili www.businessladytz.blogspot.com huko whatsapp facebook twitter yahoo gamil instagram telegram ili nao wabonyeze jina hilo na kuja hapa kusoma mambo ya msingi kwa maisha yao. Ukiwa na swali uliza hapa chini kwenye comment karibuni sana

JINSI YA KUTENGENEZA ICE CREAM/LAMBALAMBA NJOO WHATSAP 0782 065401

JINSI  YA  KUTENGENEZA   ICE CREAM/LAMBALAMBA NJOO WHATSAP 0782 065401