Saturday, July 29, 2017

FURSA YA KUJIONGEZEA KIPATO KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI

Tags

Zijue biashara ambazo waweza kuanza nazo Bure kabisa

Wajasiriamali wengi wamekuwa wakitafuta mbinu mbalimbali za kufanya biashara aidha kwa kuuza huduma au bidhaa. Lakini wachache sana hasa Afrika ambao wanafikiria kufanya biashara katika intaneti. Kuna mbinu nyingi tofauti za kufanya biashara katika intaneti ambazo zinatoa fursa kwa wajasiriamali kujiongezea kipato.

1. Kuuza Bidhaa za Biashara Yako Kupitia website.
Unaonesha biadhaa zako na bei,wanunuaji wanaziona na kuweka oda ya manunuzi. Wanalipa kwa Kadi ya Benki Credit /Debit Card) na fedha inaingia katika akaunti yako benki. Au kwa kutumia malipo kwa mfumo wa simu kama M-Pesa ,Tigo Pesa na Airtel Money kwa Tanzania.

2. Kuuza bidhaa za biashara ya watu wengine kupitia blog/website.
Unajisajili na baadhi ya makampuni yanayouza bidhaa mtandaoni duniani kama Amazon na eBay na kisha kuonesha bidhaa zao katika tovuti au blogu au katika mitandao ya kijamii kama facebook na twitter. kisha watu wakinunua bidhaa hizi kupitia matangazo yako basi unapata kiasi cha malipo waliyofanya yaani kamisheni.Baadhi ya makampuni hayo ni:-
Amazon
eBay

 3. Kuuza Matangazo Kupitia website au Blog
Kuna makampuni mbalimbali dunia ambayo yana wakutanisha makampuni, wafanyabiashara na wamiliki wa mitandao kama blog au website.

Mkampuni na wafanyabiashara wanajiunga nakutuma matangazo ya biashara yao na wenye blog/website wanajiunga nakuruhusu matangazo kuonekana katika website zao.

Bloggers/wamiliki wa website wanalipwa kila tangazo linapoonekana katika tovuti au watu wanapo bonyeza matangazo haya.
Mfano ni adsense , chitika , BuySellAds nk.


4. Kufanya Kazi za Ajira Kupitia Mtandao
Kuna makampuni ambayo yanataka wafanyakazi katika mtandao ambao wanaweza kufanya kazi fulani na wanalipwa wakikamilisha.

Baadhi ya kazi ni kama kutengeneza website's, kutengeneza programu za komputa au simu, kuchapa,kusikiliza na kutohoa suuti kwenda maandishi n.k

Badhi ya mitandao inayotoa huduma hizi ni  surveycompare.net , odesk.com, onlinejobs.net ,elance.com , peopleperhour.com na  fiverr.com

 5. Kutangaza Biashara kwa Kutuma Linki
Mbinu hii ndiyo hasa ninayopenda kuisisitiza hapa. Sababu ya kusisitiza nimkwasababu inafanya kazi kwa haraka na urahisi. Huhitaji kuwa na website wala blog kufanikisha. Kama tu upo katika mitandao ya kijamii kama facebook,twitter,intagram na mingine kama skype,whatsapp na pia kwa email unaweza kufanikiwa sana kwa kutuma linki ambayo marafiki zako wakiifungua utapata malipo.

Kama una marafiki wengi basi uwezo wako wa kufanikiwa ni mkubwa sana

mfano wa link hizi ni:- click2refer
Kampuni hili linakutaka ujiunge kisha ushirikishe marafiki zako kwa kuweka linki katika mitandao ya kijamii,tovuti ,blogu na barua pepe. Kila mtu atakayefuata linki unapata $0.5 sawa na Tsh. 1100/-Na ukijiunga tu unapata $2 kwenye akaunti yako.
Na kujiunga na program hii bonyeza link hii http://Paid2Refer.com/ref.php?refId=319250

JINSI YA KUTENGENEZA ICE CREAM/LAMBALAMBA NJOO WHATSAP 0782 065401

JINSI  YA  KUTENGENEZA   ICE CREAM/LAMBALAMBA NJOO WHATSAP 0782 065401