ORIFLAME
Ni neno la kiswiden lenye maana ya neno la ASILIA, ni kampuni ya utengenezaji na uuzaji wa vipodozi kwa njia ya moja kwa moja. ORIFLAME ilianzishwa mwaka 1967 huko stocknlom Sweden na ndugu wawili JONAS NA ROBERTH AF JOCHNICK. ORIFLAME iko zaidi ya nchi 60 duniani inauzoefu wa miaka 50 inajihusisha na bidhaa za asilia kuanzia kichwani mpaka miguuni, kwa wanawake,wanaume na watoto. Bidhaa zetu zinatokana na mimea,matunda,maua,maziwa na asali.
ORIFLAME inakupa fursa tatu (3) kama zifuatazo:-
1. KUPENDEZA/LOOK GREAT.
Hapa utaweza kujipatia vipodozi kwa ajiri ya matumizi yako wewe mwenyewe kwa ngozi yako, muonekano wako ndivyo vitakufanya uonekane wa daraja Fulani la kueleweka. Tunatoa vipodozi kulingana na ngozi yako, na vipodozi vyetu havichubui, watu wa siku hizi hawataki mambo hayo kutumia vipodozi vikali, vipodozi vyetu ni kulainisha ngozi iliyokavu,kukunjamana,chunusi,kukungarisha kubaki na ngozi ile ile. Ukiwa member utanunua bidhaa kwa punguzo la bei 23% kwa ambaye siyo mwanachama atanunua kwa bei ya kampuni ni tofauti na bidhaa zingine tunazouziwa.
2. KUTENGENEZA PESA/MAKE MONEY
Utaweza kujiongezea kipato/pesa kwa kuuza bidhaa za ORIFLAME.
Ukiwa member utanunua bidhaa kwa bei ya chini tofauti na Yule ambaye siyo mwanachama kasha utauza kwa bei ya juu, hivyo utajipatia faida, na utaweza kutengeneza mtandao wako wa kibiashara maana ukishamuuzia mtu mmoja akisha pendeza wateja wengine watakutafuta kupitia yeye ili na wao waweze kupendeza hivyo basi utakuwa ushajitengenezea pesa cha muhimu ni kuongea na wateja kwa lugha nzuri.
Kiufupi vipodozi vya ORIFLAME vinajiuza, hauhitaji kutumia nguvu ila ni akili yako tu, mtu anaponunua bidhaa na akapata matokea mazuri ndani ya mda mfupi tu hivyo itapelekea yeye kufurahia bidhaa zako na kupelekea kukutangazia bidhaa yako hivyo kuvutiwa na watu wengine, hivyo kutengeneza pesa mtandaoni ni rahisi sana. Kwenye kutengeneza pesa pia kampuni itakupa bonus kila mwisho wa mwezi kwa kila manunuzi uliyoyafanya,pia kampuni itakupa zawadi ya pesa taslimu endapo utafikia kiwango maalum cha points za mauzo zilizopangwa zawadi hizo kuanzia $1000 na kuendelea unakosaje kwa mfano!!!...
3. KUFURAHIA MAISHA /HAVE FUN
Hapa ni pale kampuni itakapokupatia nafasi za kujiachia mwenyewe, namaanisha kula bata yani, utapata tiketi za bure kusafiri ndani na nje ya nchi, yani iko hivi unatoka kwako ukiwa na begi lako tu, kila kitu utalipiwa na kampuni, utalala hotel nzuri, utakula vizuri unachokitaka n.k
Pia kwenye fursa hii utaweza kukutana na marafiki wapya wenye mitazamo chanya. Kwenye kufurahia maisha utaondoa stress zisizo na faida maana muda mwingi utakuwa bize na biashara yako, pia kwenye kufurahia maisha kutakufanya uwe STAR yani ni hivi, unapoweza kufanya biashara kwa kiwango cha juu kinachotakiwa na kampuni basi utajulikana na mataifa mbalimbali, utatangazwa kila kona, kampuni itakuweka kwenye clips za kufundisha n.k
Kutangazwa kwa mazuri raha jamani.
Karibuni sana kwenye fursa hii ya kimataifa, fursa isiyo na makuu, fursa rahisi kabisa, fursa isiyochagua tajiri wala masikini, fursa inayowezekana kwa kila mtu.
Napenda kukumbusha namna ya kupata faida nzurina kukamilisha ndogo zetu na ORIFLAME.
Kila bidhaa unayonunua ORIFLAME ina point imeandikwa bp kadhaa, hizo bp ndizo zinatengeneza bonus, kuanzia bp 200 utalipwa bonus. Na hizi ni za kwako na team yako, yan na wale walioingia chini yako yan downliners wako.
Mfano:-
Umeingiza watu watatu (3) mwezi huu na hao wakafanya manunuzi ya bp 100 kila mmoja, jumla zitakuwa bp 300 na zakwako jumla bp 400 utakuwa na 3%, mwezi jao tena wale nao wakaingiza watatu (3) hapo kila mmoja atakuwa na team ya watu wanne (4), nawewe unaingiza watatu tena jumla utakuwa na member 15. Na kila mmoja akafanya bp 100, jumla utakuwa sawa nab p 1600 ambayo ni sawa na 9%. Ni tofauti na wale wachini yako utalipwa tena.
Hiyo ndio mtandao au network business, nimekupa kidogo karibu kwenye mafunzo kwa ujuzi zaidi.
Mfano:-
Kuanzia
12% hadi 18% ni manager
21% ni senior manager
Manager akiwa kwenye cheo hicho mara 6 ndani ya mwaka anapanda cheo na kuwa DIRECTOR Na Kulipwa Dollar 1000 cash award tofauti na bonus yake, cha muhimu ni kuwa na team kubwa na inayochapa kazi, uwezi kuwa manager kama hauna wa kumuongoza, unganisha wengine wengi haijarishi elimu yako,amua leo kuwa boss.
ORIFLAME inakulipa kila mwezi kwa jinsi unavyofanya kazi, kila bidhaa na inajumlishwa mwisho wa mwezi unalipwa bonus kuanzia point 200 kwende juu.
Hii ni point table
200 - 599= 3%
600 – 1200= 6%
1200 – 2399=9%
2400 – 3999=12%
4000 – 6599=15%
6600 – 9999=18%
10,000=21%
Na hii ndio table ya bonus yake iko hivi
3%= 4700 – 14,000 Tshs
6%= 28,100 – 56,200 Tshs
9%= 84,300 – 168,600 Tshs
12%= 224,900 – 374,800 Tshs
15%= 468,600 – 773,100 Tshs
18% = 927,000 – 1,405,700 Tshs
21%= 1.6m Tshs
Hii inategemea network yako imekaaje, karibu kwenye training ujifunze kupata hizi pesa haihitaji ujue mambo mengi. Ni yale yale lakini uyafanye kila mara kwa mara.
Njia tano (5) za kufanikiwa ni
1. Determination
2. Hard work
3. Focus
4. Training
5. Recruit
Bidhaa tulizonazo nikama zifuatazo
i) Bidhaa za usoni
ii) Bidhaa za mwilini
iii) Bidhaa za nywele n.k
Kwa mawasiliano zaidi:-
E-mail:- businesslady557@gmail.com
Call:- 0782 065 401
WhatsApp:- 0782 065 401
Sms:- 0782 065 401
facebook:- urembo na asili yangu