WhatsApp imeongeza feature MPYA ! .... Fahamu Zaidi
WhatsApp inazidi kujiboresha zaidi katika mfumo wake, hivi karibuni tumeona feature nyingi ambazo zimeongezewa kwenye mtandao huu.
Lakini pia kwa sasa WhatsApp imeongeza feature mpya ambayo ina mruhusu mtumiaji kutuma file lolote lenye ukubwa hadi MB 100. Hivyo WhatsApp inazidi kuturahisishia maisha yetu.