Monday, August 21, 2017

MKE WA MTU SUMU : AGEUZWA VIUNGO VYAKE VYA MWILI

Tags



Alilala na mke wa mtu, kwa bahati mbaya mwanamke huyo alikuwa ametegwa na mume wake pasipo kujua kama kuna tego, basi huyu jamaa kama kawaida yake akapanga miada wakutane nyumba ya kulala wageni.

Kama Wahenga walivyosema kwamba za mwizi arobaini, jamaa siku ya tukio akawa wa kwanza kufika kwenye nyumba ya wageni(Guest House) waliyopanga kukutana na mwanamke ambaye alijua fika ni mke wa mtu.

Haikupita muda yule mke wa mtu akatia timu na kufikia kwenye chumba cha mchepuko wake kwa ajili ya kuivunja amri ya sita, lakini haikupita muda kelele zikasikika kutoka kwenye chumba chao.


Zilikuwa ni kelele za yule mwanamke akitoka ndani akiwa kama alivyozaliwa akipiga mayowe, hatua iliyopelekea wahusika wa guest house kwenda kuangalia, ndipo walipokuta mgoni amegeuka viungo vyake vya mwili.

Miguu imekaa sehemu ya mikono na mikono sehemu ya miguu, walipojaribu kumhoji yule mwizi wa mke wa mtu alikuwa akilia na kutiririka jasho mithili ya mwanariadha wa mbio ndefu.

Blogu zetu baada ya kuzinyaka habari hizi ilimuendea hewani Mtaalam bingwa wa kutega mitego ya kukamata michepuko, Dokta Likata, kupitia simu yake ya kiganjani 0783 83 70 93 kutaka kujua zaidi.

JINSI YA KUTENGENEZA ICE CREAM/LAMBALAMBA NJOO WHATSAP 0782 065401

JINSI  YA  KUTENGENEZA   ICE CREAM/LAMBALAMBA NJOO WHATSAP 0782 065401