Sunday, July 30, 2017

NEC YALAANI UPOTOSHAJI NA TUHUMA DHIDI YAKE

Tags
NEC YALAANI UPOTOSHAJI NA TUHUMA DHIDI YAKE

Saturday, July 29, 2017

KAMA UNATAKA KUWA SOFT HII KIBOKO

Tags
Hizi ni OPTIMALS BODY LOTION Zipo 3 tofauti.. 1. Firming lotion- hii lotion unapaka sehemu husika mwilin kuikaza ngozi yako iliyolegea
 Au unaweza ipaka mwili mzima ili ngozi yako iwe firm/strong  2. Nourishing lotion - hii imetengenezwa kwa mafuta ya argan ambayo ni mazur sana....anapaka mtu mwenye ngozi kavu sana mwilin.... 3. Smoothing lotion...hii unapaka kama unaoenda kuwa soft na nyororo mwilin..imetengenezwa na parachichi,kama unavyojua parachichi ni kiungo bora sana mwilin...anatumia mtu mwenye ngozi kavu ya kawaida
NICHEKI
CALL/WATSAP/SMS 0782065401

FURSA YA KUJIONGEZEA KIPATO KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI

Tags
Zijue biashara ambazo waweza kuanza nazo Bure kabisa

Wajasiriamali wengi wamekuwa wakitafuta mbinu mbalimbali za kufanya biashara aidha kwa kuuza huduma au bidhaa. Lakini wachache sana hasa Afrika ambao wanafikiria kufanya biashara katika intaneti. Kuna mbinu nyingi tofauti za kufanya biashara katika intaneti ambazo zinatoa fursa kwa wajasiriamali kujiongezea kipato.

1. Kuuza Bidhaa za Biashara Yako Kupitia website.
Unaonesha biadhaa zako na bei,wanunuaji wanaziona na kuweka oda ya manunuzi. Wanalipa kwa Kadi ya Benki Credit /Debit Card) na fedha inaingia katika akaunti yako benki. Au kwa kutumia malipo kwa mfumo wa simu kama M-Pesa ,Tigo Pesa na Airtel Money kwa Tanzania.

2. Kuuza bidhaa za biashara ya watu wengine kupitia blog/website.
Unajisajili na baadhi ya makampuni yanayouza bidhaa mtandaoni duniani kama Amazon na eBay na kisha kuonesha bidhaa zao katika tovuti au blogu au katika mitandao ya kijamii kama facebook na twitter. kisha watu wakinunua bidhaa hizi kupitia matangazo yako basi unapata kiasi cha malipo waliyofanya yaani kamisheni.Baadhi ya makampuni hayo ni:-
Amazon
eBay

 3. Kuuza Matangazo Kupitia website au Blog
Kuna makampuni mbalimbali dunia ambayo yana wakutanisha makampuni, wafanyabiashara na wamiliki wa mitandao kama blog au website.

Mkampuni na wafanyabiashara wanajiunga nakutuma matangazo ya biashara yao na wenye blog/website wanajiunga nakuruhusu matangazo kuonekana katika website zao.

Bloggers/wamiliki wa website wanalipwa kila tangazo linapoonekana katika tovuti au watu wanapo bonyeza matangazo haya.
Mfano ni adsense , chitika , BuySellAds nk.


4. Kufanya Kazi za Ajira Kupitia Mtandao
Kuna makampuni ambayo yanataka wafanyakazi katika mtandao ambao wanaweza kufanya kazi fulani na wanalipwa wakikamilisha.

Baadhi ya kazi ni kama kutengeneza website's, kutengeneza programu za komputa au simu, kuchapa,kusikiliza na kutohoa suuti kwenda maandishi n.k

Badhi ya mitandao inayotoa huduma hizi ni  surveycompare.net , odesk.com, onlinejobs.net ,elance.com , peopleperhour.com na  fiverr.com

 5. Kutangaza Biashara kwa Kutuma Linki
Mbinu hii ndiyo hasa ninayopenda kuisisitiza hapa. Sababu ya kusisitiza nimkwasababu inafanya kazi kwa haraka na urahisi. Huhitaji kuwa na website wala blog kufanikisha. Kama tu upo katika mitandao ya kijamii kama facebook,twitter,intagram na mingine kama skype,whatsapp na pia kwa email unaweza kufanikiwa sana kwa kutuma linki ambayo marafiki zako wakiifungua utapata malipo.

Kama una marafiki wengi basi uwezo wako wa kufanikiwa ni mkubwa sana

mfano wa link hizi ni:- click2refer
Kampuni hili linakutaka ujiunge kisha ushirikishe marafiki zako kwa kuweka linki katika mitandao ya kijamii,tovuti ,blogu na barua pepe. Kila mtu atakayefuata linki unapata $0.5 sawa na Tsh. 1100/-Na ukijiunga tu unapata $2 kwenye akaunti yako.
Na kujiunga na program hii bonyeza link hii http://Paid2Refer.com/ref.php?refId=319250

Friday, July 28, 2017

HELPING HANDS INTERNATIONAL

Tags
Ruksa kupitia fursa hiyo kama unaswali uliza ujibiwe kuhusu h2i    
H2i NI NINI??

*TIN NO: 133039686*

*LESSEN NO: 48716*

*BRELA NO: 128802*

FULSA TUNAYO ONGELEA NI HII


H2i (Helping Hands International) ni Taasisi isiyo ya KISERIKALI (GLOBAL MOBILE NGO) yenye dhumuni kuu la kuweka tabasamu kwenye nyuso za watu wasiojiweza na wale ambao ni wanachama/mabalozi.

⚡Haiuzi wala kununua bidhaa yoyote.
⚡Ina husika na kutoa huduma za kijamii tu.
⚡ Ni ya kuamimika na yenye uhakika

πŸ’₯ Inahitaji $40 sawa na shilingi elfu 90 tu ambazo zitakuwesha kusajiliwa na kufunguliwa akaunti H2i,  kufuatilia kazi zako, timu na malipo yako kila siku.

INAFANYAJE KAZI??
Ni mpango wa kushirikisha watu, kuitangaza H2i, kualika watu kwenye semina /mafunzo, kuwafundisha na kuwasajili mabalozi wapya wa H2i.

Kuna zawadi kwa kila Hatua.
Ziko Hatua (stages) 5 zinazokupa zawadi.
Unahitaji kushirikisha watu wawili tu nao watashirikisha wengine wawili,kila mtu atashirikisha watu wawili tu na unalipwa $8 sawa na TSH 17,600 kila unaposajili mtu chini yako muda huohuo.

🎁 FAIDA ZAKE
1. Hatua ya kwanza
πŸŽ‰ Utalipwa $ 26=57,200/= au $58 =127,600/=

2. Hatua ya Pili
πŸŽ€Utalipwa $ 1,000 = 2,200,000/=
πŸŽ€Apple iPad au hp laptop mpya.
πŸŽ€ Kiwanja kilichopimwa na hati miliki (Low density)
Laini yako ya simu itaunganishwa kifurushi cha mwezi kisichokuwa na Ukomo kwa.ajili y kuwasiliana na wanachama wa h2i bure.

3. Hatua ya Tatu
Utalipwa $ 3,000 = 6,600,000/=
πŸš˜πŸ€½Gari mpya Hyundai elantra yenye thamani ya
 $ 22,000 sawa na TSH. Mil 48.4
🎊 Kupendekeza watu 2 kila mwezi wasio jiweza kutoka eneo lako ambao sio wanachama ambao watasaidiwa $ 2,000 kila mmoja sawa na.tsh 4,400,000/=
✈ Safari za nje ya nchi ambazo zimelipiwa gharama zote na h2i.
Utapatiwa mafunzo ya ujasiriamali na uwekezaji.

4. Hatua ya Nne
Utalipwa $ 6,000 = 13,200,000/=
Gari mpya ya kifahari hyundai ix35 Jeep yenye thamani ya $ 27,000.=58,000,000/=
πŸ‘¨‍πŸ‘©‍πŸ‘§‍Kupendekeza kituo kimoja cha watu wasiojiweza ili kisaidiwe na h2i.
Kupewa mkopo usiokuwa na Riba $12,000
Mafunzo ya ujasiriamali na uwekezaji

5. Hatua ya Tano
 Utalipwa $ 12,000 = 26,400,000/=
 Kudhaminiwa gharama za ujenzi wa nyumba $ 40,000
Kulipiwa gharama za.masomo kwa watoto wako
 = $ 2,000.
Kuwa mjumbe wa Bodi ya Helping Hands International
Kulipwa kiinua mgongo (pension) =$5,000 sawa na Tshs Mil. 11 kila mwaka
Safari za kimataifa kuitangaza H2i


Nakushauri uielewe vyema fursa hii kisha ujiunge kwa ajili ya manufaa yako na jamii inayokuzunguka.


Join me Now


KARIBU SANA
Mawasiliano whatsap 0782065401

Monday, July 24, 2017

App mpya Adf.ly Tengeneza pesa

Tags

Tengeneza Pesa online hadi $ 100 kwa mwezi kupitia Adf.ly






Adf.ly ni site ambayo inamruhusu mtu kufupisha link ndefu kuwa fupi kama vile http://bongotechno.blogspot.com kuwa http://adf.ly/1gdeMw , Sio tofauti sana na bit.ly, tinyurl.com au goo.gl . Hata hivyo Adf.ly iko tofauti na hizo kwa sababu Adf.ly wanaweka matangazo yao katika hizo link,

Yani hivi: Pindi mtu akifungua link iliyofupishwa na Adf.ly kutakuwa na tangazo kwanza ambalo linakuwa kwa sekunde 5 kisha mtu atapeleka katika link husika. Mfano: facebook.com itakuwa http://adf.ly/1gdeMw , Hivyo mtu kabla ya kupelekwa facebook litatokea tangazo kwanza kwa sekunde 5 kisha atapelekwa Facebook.

Jinsi Adf.ly inavyofanya kazi

Adf.ly sio tofauti sana na bit.ly au goo.gl tofauti yake ni kwamba adf.ly kunakuwa na matangazo katika link zao, Adf.ly inafanya kazi pale mtu akifupisha link yake kisha akaipost facebook, twitter au kwenye forums kisha mtu akija kuclick ile link ambapo litatokea kwanza tangazo na kisha huyo mtu akiliangalia kwa sekunde 5 kisha akapelekwa kweenye link husika basi wewe utalipwa au mfano bofya hii link ya http://facebook.com iliyofupishwa kuwa http://adf.ly/1gdeMw.

Kwa kifupi

Mtu akiliangalia tangazo kwa sekunde 5 kisha akapelekwa katika link husika basi wewe utalipwa

Kiasi gani naweza kutengeneza na Adf.ly?

Adfly wanalipa dola 0.5 hadi dola 9 kwa kila views 1000 ,
(Inategemea na Nchi husika)

NB:

Facebook ina watumiaji takribani milioni 500 kwa siku, Hivyo hukosi kupata Click 1,000 kwa siku, Unaweza ukapost link zako kwenye magroup ya Facebook ili kupata click nyingi

Malipo yanakuwaje


Adf.ly wanalipa kiwango cha chini kuanzia Dola 5, Hivyo kama ukifikia dola 5 basi watakulipa automatically kwenye akaunti yako ya PayPal, Payoneer au Payza (Kwa Tanzania tumia Payza au Payoneer ) .

Jinsi gani kutengeneza pesa kutoka Adf.ly?

Kitu kikubwa ambacho nakipenda kutoka Adf.ly ni kwamba hata mtu ambaye hana blogu au hana ujuzi wowote kwenye internet naye anaweza kutengeneza pesa. Hakuna ujuzi wowote unaohitajika ili kujipatia kipato kutoka Adf.ly. Ili uweze kujiingiza kipato kutoka adf.ly unatakiwa kushare link zako ili upate click katika hizo links.


KUMBUKA

Mtu ataclick link yako kama akivutiwa na hicho kitu , hivyo weka link za vitu vinavyowavutia watu.

Hizi ndio sehemu ambazo unaweza ukashare links zako .

1. Facebook.com


Mamilioni ya watu wanatumia Facebook kila siku, Hivyo Facebook ni sehemu bora ya kupost links zako na kupata watu wa kuclick hizo links.

2. Twitter.com


Ukiwa na followers wengi twitter unaweza ukapost links zako ili follower wako wa click hizo link

3. Youtube.com


Pia unaweza ukatumia Youtube.com kuweka link zako kwenye maelezo ya video

4.Forums


Kuna forum nyingi ambazo zinaruhusu kuweka link, hivyo unaweza ukapost link zako kwenye forums

Blogu au website


Kama una blogu au website unaweza ukaweka link zilizofupishwa na Adf.ly au hata kama hauna website unaweza kucomment link kwenye blogu .
Hivyo kwa kutumia Adf.ly utaweza kujiongezea kipato kwa urahisi zaidi
Jiunge nao kwa kubofya Hapa

Tangazo

tangaza biashara yako hapa kupiyia blog hii kwa mawasiliano nicheki whatsapp 0782065401

KUBORESHWA KWA WHASAPP

Tags

WhatsApp imeongeza feature MPYA ! .... Fahamu Zaidi



WhatsApp inazidi kujiboresha zaidi katika mfumo wake, hivi karibuni tumeona feature nyingi ambazo zimeongezewa kwenye mtandao huu.
Lakini pia kwa sasa WhatsApp imeongeza feature mpya ambayo ina mruhusu mtumiaji kutuma file lolote lenye ukubwa hadi MB 100. Hivyo WhatsApp inazidi kuturahisishia maisha yetu.

Thursday, July 20, 2017

ELIMU YA UJASILIAMALI

Tags
EBU TUANGALIE HILI SOMO LEO.
Je, Unahitaji Kufanya Biashara Na Hujui Ni Biashara Ipi Ya Kufanya? Soma Hapa Kujua Ni Biashara Ipi Ya Kuifanya Sasa

Wapo watu ambao mara nyingi hujiuliza ni biashara gani wafanye katika maisha yao ambayo itaweza kuwaingizia pesa nyingi ya kutosha. Ni wazo ambalo hutokea kutokana na pengine kuona kila biashara wanayoitazama kwa wakati huo kama hailipi. Hali hiyo husababisha mkanganyiko mkubwa wa mawazo ambao husababisha wabaki njia panda.

Kama imeshawahi kukutokea hali kama hii kwa namna moja au nyingine makala hi ni muhimu sana kwako kuisoma. Kwa kusoma makala hii inakuonyesha kwa uwazi orodha za biashara ambazo unatakiwa uzifanye ukiwa katika mazingira uliyopo. Karibu kila biashara ipo hapo, kazi ni kwako kuchagua mojawapo unayoipenda na kuifanya, acha kulalamika tena kuwa huelewi nini cha kufanya.
Twende kwa pamoja kuzijua biashara hizo ambazo unauwezo wa kuzifanya na kukufikisha kwenye mafanikio makubwa:-

1. Kutengeneza na kuuza chaki

Hii ni moja ya biashara nzuri unayoweza kuifanya na soko lake liko juu. Unaweza ukanunua mashine yako za kutengeneza chaki na kisha ukaanza kuzisambaza kwenye stationary au mashuleni. Uzuri wake mashine hizi za kutengenezea chaki gharama yake pia sio kubwa sana ni ya kawaida tu ambayo hata wewe unaweza kuimudu. Hii inaweza ikawa ni sehemu mojawapo ya kuingizia kipato chako.

2. Kufungua duka la kuuza asali

Uzuri wa bidhaa hii muda mwingi soko lake lipo juu. Ni biashara ambayo unaweza ukaifanya kwa kuagizia asali kutoka kwa wakulima kama nilivyo mimi na kisha kuanza kuiuza moja kwa moja katika vipimo vinavyotakiwa.

Kama huwezi kufungua duka hili unaweza ukafanya mbadala wake ukaenda kutengeneza mizinga wewe mwenyewe na kuwafuga. Pia hii ni biashara ambayo ni nzuri kwako kukuingizia kipato kikubwa kwa urahisi.

3. Kuanzisha biashara ya kuuza vyakula katika matamasha mbalimbali

Hapa siyo lazima uwe na Hotel au Mgahawa ndiyo uanzishe biashara ya namna hii. Kikubwa unahakikisha unakuwa makini na sherehe katika eneo ulilopo. Kama ni kuweka mawakala watakao kusaidia kukujulisha kuwa eneo fulani kuna sherehe ya aina fulani na siku fulani itakuwa nzuri zaidi kwako kuchangamkia tenda hizo mapema.

4. Kujenga nyumba za kulala wageni

Kama mtaji wako unaruhusu hii ni moja kati ya biashara nzuri kuifanya. Ni biashara ambayo hahitaji kukimbizana sana ukishamaliza kujenga, zaidi unatakiwa kuweka mfumo sahihi wa kusimamia na kuanza kuingiza pesa. Na kwa bahati nzuri kwa Tanzania yapo maeneo mengi ambayo yanauhitaji mkubwa wa huduma hii. Ni Biashara nzuri kuifanya hata kama umri umeenda, kwa sababu haihitaji mkimbizano mkubwa.

5. Kutengeneza matoroli/mikokoteni na kuikodisha

Katika hili hapa unatakiwa kutengeneza kwa idadi unayoitaka na unamwachia kijana ambaye anaikodisha huku ukiendelea na majukumu mengine. Unaweza ukaiona ni biashara ndogo lakini fuatilia kwa waliowekeza nguvu na mawazo yao hapo wakwambie kile wanachokipata utashangaa.

6. Kuazisha huduma ya AIRTEL MONEY, MPESA, TIGOPESA, EZYPESA

Hakuna ubishi hii ni moja ya huduma ambayo imezagaa kila eneo na watu wengi wanaihitaji. Kikubwa ni juhudi yako na kuzingatia eneo uliloweka biashara yako liwe hasa la mzunguko mkubwa zaidi kukuwezesha kufanya biashara hii vizuri.

7. Kupamba maharusi na kumbi za harusi/sherehe

Pia unaweza ukajiingiza hapa na kushughulika na kupamba tu maharusi. Kama hujui sana ni kitu cha kujifunza pia, kisha unachangamkia sherehe zinazojitokeza mjini.

8. Kuanzisha kilimo cha kisasa

Wengi wanaposikia kilimo kichwa kinakataa. Lakini ikiwa utawekeza kwenye kilimo cha kisasa na cha kitaalamu ambacho unategemea kumwagilia zaidi, uwe na uhakika unatoka. Yapo mazao mengi unaweza ukalima lakini mojawapo ni kitunguu. Inaweza ikawa ni njia rahisi ya kufikia mafanikio yako kuliko unavyofikiri.

9. Mashine za kusaga na kukoboa nafaka

Pia unaweza ukajitengenezea kipato chako na kuwa kikubwa na cha uhakika kwa kufunga mashine hizi. Kila siku watu wanahitaji kula hivyo ukifunga mashine hizi ni rahisi sana kupata wateja wa kuwauzia unga na kupata faida. Na uzuri mahindi ya kusaga yanapatikana maeneo mengi kwa wingi kama kule Kibaigwa (Dodoma), Gairo(Morogoro), Kiteto(Manyara) na maeneo mengine mengi kama Iringa na mbeya.

10. Yadi kwa ajili ya kupaki magari

Kitu unachotakiwa hapa ni kununua kiwanja na kukigeuza kuwa yadi ambapo magari yanakuwa yanapaki iwe kwa kulala au kwa muda. Kila gari linalokuwa linapaki linakuwa linatozwa kiasi fulani cha pesa ambacho kinakuwa ndiyo hiyo huduma unayoitoa.

11. Kuanzisha darasa kuwafundisha watoto kama tuition n.k

Zipo aina nyingi sana za biashara ambazo unaweza ukazifanya na kukuingizia kipato. Uamuzi uko mikononi mwako.
Zipo biashara zaidi ya 100 nitaendelea siku nyingine wapendwa naomba niwaachie hicho kipande.
Kwa ushauri zaidi niandikie kupitia
E-mail;  businesslady557@gmail.com
Whatsap: 0782065401https://businessladytz.blogspot.com/?m=1

Wednesday, July 19, 2017

ORIFLAME COMPANY

Tags
ORIFLAME
                Ni neno la kiswiden lenye maana ya neno la ASILIA, ni kampuni ya utengenezaji na uuzaji wa vipodozi kwa njia ya moja kwa moja. ORIFLAME ilianzishwa mwaka 1967 huko stocknlom Sweden na ndugu wawili JONAS    NA   ROBERTH AF JOCHNICK.  ORIFLAME iko zaidi ya nchi 60 duniani inauzoefu wa miaka 50 inajihusisha na bidhaa za asilia kuanzia kichwani mpaka miguuni, kwa wanawake,wanaume na watoto. Bidhaa zetu zinatokana na mimea,matunda,maua,maziwa na asali.

ORIFLAME  inakupa fursa tatu (3) kama zifuatazo:-

1.                        KUPENDEZA/LOOK GREAT.
Hapa utaweza kujipatia vipodozi kwa ajiri ya matumizi yako wewe mwenyewe kwa ngozi yako, muonekano wako ndivyo vitakufanya uonekane wa daraja Fulani la kueleweka. Tunatoa vipodozi kulingana na ngozi yako, na vipodozi vyetu havichubui, watu wa siku hizi hawataki mambo hayo kutumia vipodozi vikali, vipodozi vyetu ni kulainisha ngozi iliyokavu,kukunjamana,chunusi,kukungarisha kubaki na ngozi ile ile. Ukiwa member utanunua bidhaa kwa punguzo la bei 23% kwa ambaye siyo mwanachama atanunua kwa bei ya kampuni ni tofauti na bidhaa zingine tunazouziwa.

2.                        KUTENGENEZA PESA/MAKE MONEY
Utaweza kujiongezea kipato/pesa kwa kuuza bidhaa za ORIFLAME.
Ukiwa member utanunua bidhaa kwa bei ya chini tofauti na Yule ambaye siyo mwanachama kasha utauza kwa bei ya juu, hivyo utajipatia faida, na utaweza kutengeneza mtandao wako wa kibiashara maana ukishamuuzia mtu mmoja akisha pendeza wateja wengine watakutafuta kupitia yeye ili na wao waweze kupendeza hivyo basi utakuwa ushajitengenezea pesa cha muhimu ni kuongea na wateja kwa lugha nzuri.
        Kiufupi vipodozi vya ORIFLAME vinajiuza, hauhitaji kutumia nguvu ila ni akili yako tu, mtu anaponunua bidhaa na akapata matokea mazuri ndani ya mda mfupi tu hivyo itapelekea yeye kufurahia bidhaa zako na kupelekea kukutangazia bidhaa yako hivyo kuvutiwa na watu wengine, hivyo kutengeneza pesa mtandaoni ni rahisi sana. Kwenye kutengeneza pesa pia kampuni itakupa bonus kila mwisho wa mwezi kwa kila manunuzi uliyoyafanya,pia kampuni itakupa zawadi ya pesa taslimu endapo utafikia kiwango maalum cha points za mauzo zilizopangwa zawadi hizo kuanzia $1000 na kuendelea unakosaje kwa mfano!!!...

3.                        KUFURAHIA MAISHA /HAVE FUN
Hapa ni pale kampuni itakapokupatia nafasi za kujiachia mwenyewe, namaanisha kula bata yani, utapata tiketi za bure kusafiri ndani na nje ya nchi, yani iko hivi unatoka kwako ukiwa na begi lako tu, kila kitu utalipiwa na kampuni, utalala hotel nzuri, utakula vizuri unachokitaka n.k
        Pia kwenye fursa hii utaweza kukutana na marafiki wapya wenye mitazamo chanya. Kwenye kufurahia maisha utaondoa stress zisizo na faida maana muda mwingi utakuwa bize na biashara yako, pia kwenye kufurahia maisha kutakufanya uwe STAR yani ni hivi, unapoweza kufanya biashara kwa kiwango cha juu kinachotakiwa na kampuni basi utajulikana na mataifa mbalimbali, utatangazwa kila kona, kampuni itakuweka kwenye clips za kufundisha n.k
Kutangazwa kwa mazuri raha jamani.
Karibuni sana kwenye fursa hii ya kimataifa, fursa isiyo na makuu, fursa rahisi kabisa, fursa isiyochagua tajiri wala masikini, fursa inayowezekana kwa kila mtu.
Napenda kukumbusha namna ya kupata faida nzurina kukamilisha ndogo zetu na ORIFLAME.
        Kila bidhaa unayonunua ORIFLAME ina point imeandikwa bp kadhaa, hizo bp ndizo zinatengeneza bonus, kuanzia bp 200 utalipwa bonus. Na hizi ni za kwako na team yako, yan na wale walioingia chini yako yan downliners wako.


        Mfano:-
                Umeingiza watu watatu (3) mwezi huu na hao wakafanya manunuzi ya bp 100 kila mmoja, jumla zitakuwa bp 300 na zakwako jumla bp 400 utakuwa na 3%, mwezi jao tena wale nao wakaingiza watatu (3) hapo kila mmoja atakuwa na team ya watu wanne (4), nawewe unaingiza watatu tena jumla utakuwa na member 15. Na kila mmoja akafanya bp 100, jumla utakuwa sawa nab p 1600 ambayo ni sawa na 9%. Ni tofauti na wale wachini yako utalipwa tena.

        Hiyo ndio mtandao au network business, nimekupa kidogo karibu kwenye mafunzo kwa ujuzi zaidi.
Mfano:-
        Kuanzia
12%  hadi   18% ni manager
21% ni senior manager
Manager akiwa kwenye cheo hicho mara 6 ndani ya mwaka anapanda cheo na kuwa DIRECTOR Na Kulipwa Dollar 1000 cash award tofauti na bonus yake, cha muhimu ni kuwa na team kubwa  na inayochapa kazi, uwezi kuwa manager kama hauna wa kumuongoza, unganisha wengine wengi haijarishi elimu yako,amua leo kuwa boss.

        ORIFLAME inakulipa kila mwezi kwa jinsi unavyofanya kazi, kila bidhaa na inajumlishwa mwisho wa mwezi unalipwa bonus kuanzia point 200 kwende juu.

Hii ni point table
200 -  599= 3%
600 – 1200= 6%
1200 – 2399=9%
2400 – 3999=12%
4000 – 6599=15%
6600 – 9999=18%
10,000=21%

Na hii ndio table ya bonus yake iko hivi
3%= 4700 – 14,000 Tshs
6%= 28,100 – 56,200 Tshs
9%= 84,300 – 168,600 Tshs
12%= 224,900 – 374,800 Tshs
15%= 468,600 – 773,100 Tshs
18% = 927,000 – 1,405,700 Tshs
21%= 1.6m Tshs

Hii inategemea network yako imekaaje, karibu kwenye training ujifunze kupata hizi pesa haihitaji ujue mambo mengi. Ni yale yale lakini uyafanye kila mara kwa mara.

Njia tano (5) za kufanikiwa ni
1. Determination
2. Hard work
3. Focus
4. Training
5. Recruit  
       
Bidhaa tulizonazo nikama zifuatazo
i)                             Bidhaa za usoni
ii)                          Bidhaa za mwilini
iii)                       Bidhaa za nywele n.k

Kwa mawasiliano zaidi:-
E-mail:- businesslady557@gmail.com
Call:-  0782 065 401
WhatsApp:- 0782 065 401
Sms:- 0782 065 401


facebook:- urembo na asili yangu

FOUNDATION FROM ORIFLAME

Tags
Foundation from Oriflame Product
Tshs 39,000/= only
Whatsap 0743 394620

Tuesday, July 18, 2017

NORTH FOR MEN

Tags
North for men ni set ya kinababa au wanaume,ambayo inajumuisha soap bar,hair and body wash,deo-roll on,advanced control face cream,shaving foam na soothing face cream.
Bila kusahau deo spray  Faida
1.Soap Bar,hii ni sabuni ya kuogea(ya kipande)ambayo husaidia kuondoa uchafu mwilin na kuacha ngozi ikiwa safii na muonekano mwororo
Kwanza,inaondoa seri silizokufa juu ya ngozi yako ambazo haziondoki kwa sabuni ya kawaida
Pili,kwa mtu mwenye mafuta inamfaa zaid jambo na wengine wanatumia
Tatu,Ngozi inakua katika mwonekano mzuri
 Nne,imezibitishwa na wataalam kuwa ni rafiki kwa ngozi pamoja na kuzuia magonjwa ya ngozi.
2.Hair and Body wash,hii pia ni sabuni ambayo unaogea toka kichwan mpaka miguuni yaani mwili mzima
Soap bar na Hair and body wash kwa pamoja zinatunza unyevunyevu wa ngozi
1.Inaondoa seri zilizokufa mwilini 2.Inaimalisha nywele za baba 3.wataalam wameipima pia 4.pia inauacha mwili ukiteleza
Deo spray hii ni deodorant ya kuspray sehemu za vikwapa nayo inafanya kazi kama Deo roll on

3.Deo-roll on na Deo spray.Deo roll on in deodorant ya kupaka sehemu za vikwapa ambayo inasaidia kuondoa michirizi mieupe itokanayo na jasho na inadumu ndani ya Massa 48 yaani Siku mbili
Faida zake kwa pamoja,zinaondoa harufu mbaya itokanayo na vikwapa na kuondoa michirizi inayobaki baada ya jasho kukauka.
4.Advanced age control face cream,Hii ni cream ya uso ambayo hutumika kupaka uson kama kifukuza uzee kwa baba au mikunjo ya uso
Faida zake
1.uso unakua nyororo au mwororo tena unavutia
.Ngozi ya uso inabakia na unyevunyevu ndani ya masaa 24.  5.Shaving foam,inatumika wakati wa kunyolea ndevu kwa baba ambayo hii inaweza tumiwa na mtu mwenye ngozi sensitive ya uso,mfano mtu ambaye akinyoa ndevu tu anatoka mapele mengi au ngozi inabadilika kuwa nyeusi
Faida
1.kidevu kinateleza
2.Inazuia ngozi ya kidevu kukakamaa wakati wa kunypa
3.husikii maumivu wakati wa kunyoa
4.inaondoa miwasho na kidevu kutekenya
5.inalinda ngozi ya kidevu kutoka vipele baada ya kunyoa.
6.Soothing face cream,hii ni cream ambayo unapaka baada ya kunyoa ndevu ili kulinda kidevu πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Call/watsap 0743394620

OPTIFRESH DAWA YA MENO

Tags
Meno yenye rangi ya njano tumia optifresh kungarisha meno yako kuwa mwenye tabasamu zuri na linalovutia wakati wote afya iko kwenye kinywa chako jari kinywa chako na optifresh na inaharufu nxur Sana
IPO ya watoto na watu wazima pia
Kwa mahitaji nicheki
Piga/watsap/SMS 0743394620

MAKE UP

Tags
Make up
Kutoka oriflame company
Inasaidia kupunguza madoa usoni
Inakufanya uwe na muonekano mzuri
Inakuweka comfortable
Kwa mahitaji zaidi nicheki
Whatsap/sms/call 0743394620

Saturday, July 15, 2017

LIPSTICK AMAIZING

Tags

Lipstick amaizing kabisa 
Sio kwa urembo huu jaman ebu fanya kunicheki fasta yani
Call 0743 394620
Watsap 0743 394620
Facebook: urembo na asili yangu
Instagram : urembo na asili yangu

karibu businessladytz.blogspot.com

Tags
Karibu sana mpenzimsomaji wa blog hii ya business lady Tz ambayo itakupa habari mbalimbali zikiwemo za uchumi, kilimo, mafunzo ya ujasirimali, Makala mbalimbali za kimaisha,habari na matuki ya kila siku na vitu ngine vingi.


Ukiwa na tangazo la biashara au huduma yoyote ile unataka kutangaziwa leta utangaziwe kwenye blog hii inayotembelewa na watu wengi Tanzania kenya uganda na ruwanda. Utalipia kiasi kidogo tu cha pesa kwa mwezi.

Watumie rafiki zako jina hili www.businessladytz.blogspot.com huko whatsapp facebook twitter yahoo gamil instagram telegram ili nao wabonyeze jina hilo na kuja hapa kusoma mambo ya msingi kwa maisha yao. Ukiwa na swali uliza hapa chini kwenye comment karibuni sana

JINSI YA KUTENGENEZA ICE CREAM/LAMBALAMBA NJOO WHATSAP 0782 065401

JINSI  YA  KUTENGENEZA   ICE CREAM/LAMBALAMBA NJOO WHATSAP 0782 065401